ronaldo habi
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 106
- 132
Alafu kama kweli ni wauza madafu...I expected kwa vile wamealikwa ikulu wangevaa atleast vizurii kuendana na location Lakin ukicheki wao wamevaa kawaida na makofia ikimaanisha wanajaribu kumaintain uhalisia wa muuza dafu...Kuna shida apoo...Ni ngumu Sana, kuaminisha uma kua hao, Ni wauza madafu.
1.Wanajiamini Hilo Swala kwa Raia sio Jambo Jepesi.(Over Confidence)
2.Kwa Tanzania kumtambua mtu Kama Ni Askari au Mtumishi wa Srk Ni Jambo Jepesi Sana.
3.Muonekano wao sio wa mtu anae za madafu, na ukitaka kulikua Hilo Tumia mda wako kuonana na wauza madafu.
Huna exposure weweHivi vyuo vya kibongo unapata wapi muda wa kukariri madesa,course work na kwenda kufanya biashara ya kuuza madafu ambayo hujui mnunuzi atakuja kununua muda gani? Au wakiyafikisha hapo A-Z yananunuliwa yote kila siku?
Kifupi wewe una pepo la umaskini .Na huwezi kuja kuwa mfanyabisha hata siku moja utaishia tu kuwa kibarua wa kuajiriwa au serikalini au Kwa Wahindi sababu huwezi anzisha hata biashara ya bodaboda sababu hujui wateja watatoka wapi na je utapata pesa kwenye kijiwe unapakiHivi vyuo vya kibongo unapata wapi muda wa kukariri madesa,course work na kwenda kufanya biashara ya kuuza madafu ambayo hujui mnunuzi atakuja kununua muda gani? Au wakiyafikisha hapo A-Z yananunuliwa yote kila siku?
Hata wakiwa askari wewe kama raia mwema woga wa Nini?hata hawa wanaouza bidhaa mikononi wakitembeza kwenye mabaa, migahani, mahotelini na kwenye magesti ni wa kutiliwa shaka kwani miili yao imeshiba ni wakakamavu
Mbona povu linakutoka sana kuniaminisha vitu ambavyo huna elimu navyo?? Hivi haya maisha ya kusoma course 13 kwa semister 1 yenye miezi 3 unapata muda wa kwenda kukaa barabarani kuuza madafu?? Hivi unajua hustle za kutega kuuza hizo biashara ndogo ndogo halafu bado upate muda wa kwenda chuoni kusoma, kufanya assignments na revisions??Kifupi wewe una pepo la umaskini .Na huwezi kuja kuwa mfanyabisha hata siku moja utaishia tu kuwa kibarua wa kuajiriwa au serikalini au Kwa Wahindi sababu huwezi anzisha hata biashara ya bodaboda sababu hujui wateja watatoka wapi na je utapata pesa kwenye kijiwe unapaki
Kifupi Kuna wanachuo wakipata mikopo hunumua bodaboda hawakabidhi mtu akiwa free anaendesha mwenyewe kujiongezea kipato.Ziko bodaboda kibao za wanachuo walioko Masomoni
Tunasifia marekani kuendelea.Marekani watu wanafanya kazi sana wakiwrmo.wanavyuo wanachuo Huwa msitari wa mbele kutafuta kazi yeyote ya kibarua ya kufanya akiwa free .Hana muda wa kupoteza unakuta anadoma akimaliza masomo.darasani mbio kusaka kibarua au biashara ya kufanya.
Hao wauza madafu hawana muda wa kupoteza ni Darasani akitoka anaenda mbio.kuuza madafu yake.
Huyo Kijana msomi anayesoma NIT yeye kazaliwa tukuyu mbeya kule hakuna madafu lakini kafika dar kajifunza kufanya hiyo biashara na akasema alipohojiwa kuwa akimaliza masomo anataka afanye kazi gani kasema yeye hachagui kazi kazi yeyote iwezayo mwingizia kipato atafanya hata isipokuwepo yeye ataendelea kujiuzia madafu yake anachojali kufanya kitu cha mwingizia kipato sio kukaa bute
Mkuu,Alafu kama kweli ni wauza madafu...I expected kwa vile wamealikwa ikulu wangevaa atleast vizurii kuendana na location Lakin ukicheki wao wamevaa kawaida na makofia ikimaanisha wanajaribu kumaintain uhalisia wa muuza dafu...Kuna shida apoo...
Mbona povu linakutoka sana kuniaminisha vitu ambavyo huna elimu navyo?? Hivi haya maisha ya kusoma course 13 kwa semister 1 yenye miezi 3 unapata muda wa kwenda kukaa barabarani kuuza madafu?? Hivi unajua hustle za kutega kuuza hizo biashara ndogo ndogo halafu bado upate muda wa kwenda chuoni kusoma, kufanya assignments na revisions??
Au unajua maisha ya vyuo vya bongo unaingia saa 1 asubuhi na kutoka saa 4 asubuhi? Unajua biashara kweli wewe? Sidhani kama ulishawahi hata kusimama road kufanya hizo biashara ndogo ndogo.
Unadhani kungekua na harusi ya Dada ake au ndugu yake angeenda amevaa ivyo kisa anauza madafu??...unazan Hana Ata suruali na sharti la kuzugia kukitokea event za kijamii.....unadhan alikosa dress code ya kanzu ambayo ndo ilitajika ili uweze kuingia.....unazan alikua hajui wanaenda kukutana na raisi kwaiyo atleast walipaswa kuvaa vizuri kidogo.....Yan Ata ungekua wew unauza madafu unaambiwa utaenda ikulu uwezi vaa ivyooo...infact kama ni wanachuo uko chuoni wanavaaga nin kama hawana Ata suruali na shart la kuzugia?Mkuu,
Unataka muuza madafu avae suti wakati hana suti na katika mipango yake wala hana event ya kuvaa suti kwenda?
Unajuaje kuwa aina hiyo ya nguo si nguo zote walizonazo, unajuaje kuwa nhapo actually hawajavaa nguo zao nzuri kabisa?
Mtu kakupigia belo lake kali la Converse halafu unamchukukia poa?
Unajua huyo jamaa kwa hilo belo hata mitaa ya Bronx New York anaonekana anajua mapigo?
Kitu kikubwa kabisa ni kwamba hakuna ushahidi kwamba hao watu si wauza madafu.Unadhani kungekua na harusi ya Dada ake au ndugu yake angeenda amevaa ivyo kisa anauza madafu??...unazan Hana Ata suruali na sharti la kuzugia kukitokea event za kijamii.....unadhan alikosa dress code ya kanzu ambayo ndo ilitajika ili uweze kuingia.....unazan alikua hajui wanaenda kukutana na raisi kwaiyo atleast walipaswa kuvaa vizuri kidogo.....Yan Ata ungekua wew unauza madafu unaambiwa utaenda ikulu uwezi vaa ivyooo...infact kama ni wanachuo uko chuoni wanavaaga nin kama hawana Ata suruali na shart la kuzugia?
Matumizi mabaya ya bando kwa Shughuli zisizokuingizia kipatoJuzi Rais alialika wasanii (chawa?) wakajumuike nae Ikulu kwa ajili ya kupata futari ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao ndio ilikua chungu cha kwanza, jambo jema!
Baada ya hapo taharuki kuu imejitokeza baada ya picha ya Rais Samia akikatiza mbele ya wauza madafu wawili ambao walikua wamesimama kwa utii na upole(ukakamavu kiasi).
Swali la kujiuliza wauza madafu wale walikua na mapanga na mabisu yao kwenye viuno na mtenga kama wauza madafu wa mitaani kwetu?
Ikiwa waalikwa walipewa mualiko wa karamu ya chakula, wauza madafu walikua pale kwa ajili ya kumuuzia nani?!! Kwa mamia ya watu waliolikwa, tenga 2 za madafu zingewatosha wakina nani? Tutarajie siku nyingine wauza pweza, ngoka 11 nao kujumisha?
Mwezi mtukufu, kuna ulazima wa kuleta matukio ya kupika?
Ukiwaza kidogo nje ya box,ikiwa maigizo Hadi kwenye mambo ya mwezi mtukufu,je mambo mangapi muhimu na nyeti Watanzania wanafanyiwa hadaa na maigizo?
Imenikumbusha enzi za Magufuli kusambaziwa picha akiwa kijiweni anakunywa gahawa na walalahoi huku walalahoi hao wakiwa na fulana zenye nembo ya serikali ya Bibi na Bwana!
Sasa wewe shida yako ni nini, Badala ya kuwaza mambo yanayoweza kukuingizia pesa, haya basi kama ni askari analipwa, kama ni Muuza madafu bado kalipwa, wewe?Usimamaji, nywele, ndevu , ukakamavu na vingine vingi vinaonyesha hao ni askari, sio wauza madafu, wauza madafu Hawana ndevu
Only fools like you will buy that bs. Yaani watu wa usalama wakuamini tu kiwepesi kwasababu unafanya biashara ya kuuza madafu siku za weekend tu ...siku nyingine hawakuoni. Halafu waachwe watu ambao daily wanauza madafu hapo aje achukuliwe yeye anayeonekana kijiweni mara moja moja?Huyo muuza madafu kaongea Yuko likizo hii ya pasaka Chuo kimefunga
Kasema yeye biashara hiyo hufanya siku za weekends na pia na akishatoka Masomoni chuoni yeye anakaa nje ya Chuo na wako wawili na yule Rafiki yake yeye hasomi ila wote ni washirika wanafanya biashara pamoja na ndie alimfundisha biashara Cha ajabu nini? nenda Chuo Cha uhasibu TIA wanachuo Wana Hadi vibanda vya kuchoma chips jioni ,sehemu za Mpesa,Tigo ,Pesa nk maduka ya Stationary nk
Watu wa usalama unawaonaje mbona Hadi Kwa mama nitilie tunakula naoOnly fools like you will buy that bs. Yaani watu wa usalama wakuamini tu kiwepesi kwasababu unafanya biashara ya kuuza madafu siku za weekend tu ...siku nyingine hawakuoni. Halafu waachwe watu ambao daily wanauza madafu hapo aje achukuliwe yeye anayeonekana kijiweni mara moja moja?
Wabongo wengi wanapenda kujitekenya na kucheka wenyewe tu.Sijaona cha kushangaza ..
Uraisi ni taasisi...