Kwakilichotokea Israel ni ushindi tosha Kwa HaMAS... Lazima utambue HAMAS sio jeshi ni wanamgambo...HAMAS haina ata kifaru kimoja,Hamas haina ata ndege moja ya vita,Haina Meli vita, Haina mifumo japo ya mwaka 1947 ya rada wa airdefense system...Hamas haina Bajeti ya ulinzi...Hamas haina kitu chochote cha maana cha kuitwa jeshi... Hamas ana viroketi vya kilometa 75-150 ivi..vyenye warheads au mlipuko wa 20kg mpaka 50Kg..Gaza ni kasehemu kadogo sana ambako kamezingilwa kila kona Hamas alichonacho ni AK47 na viroketi tu na zaidi alichonacho ni kutotii mamlaka ya Israel... Israel ana nini?? Israel ana ndege vita (Fighter jets) zaidi ya +300 zikiwemo F-15, F-16, na hizi radar evading or fifth generation fighter jets ambazo hazionekani kirahisi kwenye radar za adui wao wanaziita adir au F-35 zote hizi ni formmidable US made 4th and 5th gen... Israel ana best airdefence system za Mmarekani yani Patriot air defence system capable of intercepting Ballistic missiles,cruise missiles na ndege vita, Bado Israel ana airdefence ambazo ametengeneza kwa kushirikiana na US mfano Arrow 1&2$3.. Bado ana Iron dome ambazo zina intercept rockets km hizi za Hamas ambazo zinagharamiwa na US... Israel na Germany Made Dolphine submarine km 10 ivi ambazo kati ya hizo 2 au 3 zina makombola ya nuclear.. Israel warship ambazo zinamakombola.. Israel ina viwanda vya silaha.. Na yote 9 Israel inapewa dola Bilion 3 kila mwaka na US kwa ajili ya ulinzi.... umiza ubongo kidogo badili hiyo 3$Bil US kwa pesa ya Madafu ndo utajua... So kushangulia Israel dhidi ya HaMas ni sawa na kushangulia ushindi wa JWTZ ya nchi nzima dhidi ya Panya road 1000 tu walioko Temeke... Jiulize kwanini Marekani na kuipa kila aina ya Silaha hasa hizi Bunker Buster z kupasua Milima ya Tolabola kule Afghanstan kwenye Miamba ndo unapiga majengo bado amewahi kuipa silaha zaidi na kupeleka meli vita kuisaidia Israel... Israel siku akiingia vitani na nchi na apo asisaidiwe na Mataifa ya US na Ulaya utashangaa... watu wanasema eti ile vita 1947 mbona alishinda kwani ni Lini Israel amepigana bila Msaada sa US... ata aya mashambulizi anayofanya Syria ya kuvizia anajua sababu mjomba wake US yupo Syria kuilinda Israel.... Kuhitimisha Hamas kwa walichokifanya Israel zaidi ya Masaa matatu na kuteka ni ushindi tosha sawa na Panya road wavambie kambi kuu ya JWTZ kwa masaa zaidi ya 3 wauwe na wateke.