Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Kichangiri

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
331
Reaction score
675
Sitasahau siku nimelala guest moja mitaa ya mwananyamala (ya bei rahisi) na mtoto mmoja mkali ila wa uswahilini ili kujilia tunda ile nimeingia naanza kuandaa mazingira kumbe kuna wajomba (wazee wa DEO) wananila chabo na mtoto dirishani. Baada ya kustuka na kuzima taa nimekolea kwenye game nilikumbwa na vimbwanga vya mapaka yenye milio ya kila aina. Usiku ulikuwa mrefu kiasi kwamba nilishindwa kuenjoy kilichonipeleka.
Niliiona ile siku chungu na nikadiriki kusema mwananyamala na mimi basi.

Wewe umewahi kukutana na kipi?
 
Mimi pale bugurun baada ya kulipia chumba mhudumu wa guest akaja kuniuliza kama nahitaji huduma ya mauno, nikajivuga nikamwambia aniletee Dada mdogo mdogo asiwe jimama likaniteka usiku dah dakika tano nyingi mlango ukagongwa akaingia na kadada kadogooo kananyonyesha mtoto miezi saba mpaka tisa hivi nikauliza ndo huyu? wakaitikia ndio. Sikumbuki niliwajibu nini ila niliona wanafungua mlango na kuondoka.
 
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hii nainyooshea mikono
 
Mimi pale bugurun baada ya kulipia chumba mhudumu wa guest akaja kuniuliza kama nahitaji huduma ya mauno, nikajivuga nikamwambia aniletee Dada mdogo mdogo asiwe jimama likaniteka usiku dah dakika tano nyingi mlango ukagongwa akaingia na kadada kadogooo kananyonyesha mtoto miezi saba mpaka tisa hivi nikauliza ndo huyu? wakaitikia ndio. Sikumbuki niliwajibu nini ila niliona wanafungua mlango na kuondoka.
Mzee story ina hang bado..

Waliondoka wakakuachia mrembo ule mzigo au waliondoka na yule mrembo ukabaki peke yako?
 
Hapo Dar hata hoteli za bei bado ni balaa, nimewahi kulala kwa moja ila usiku ukawa mrefu kisa miguno ya Dada aliyekua analiwa kwenye chumba jirani.
Nilitegemea wamalize mchezo ndani ya dakika 15 ili nipate amani, ila sijui jemba lilikua limekula nini maana dah nusra wakeshe.
 
Aisee mm nilienda gest moja maeneo ya buguruni na mtoto flani hiv ila wakawaida

Daah kulikua na kunguni katika godoro hadi ikawa balaa

Nilikula mzigo kibishi bishi ila niliapa mm na gest za buguruni basi tena
ndugu ujue ulihamisha majeshi
 
Sitasahau niliendaga morogoro vijijini (hata jina nimelisahau) kikazi sasa ukafika wakati wa kutafuta gest... aisee sikuwahi kujua kama kuna gest za buku mbili.. buku tatu.. daah .. kwanza niliogopa nkajua leo nalazwa gereji aseee.. ila sema ka-gest kalikuwa sex kinoma noma.. tushuka tusafi ila tumefubaa..godoro jembamba... yaan niliona masaa ya usiku yameongeseka duuh..

Nyingine niliendaga wilaya ya kilindi kipindi hicho ndo kwaaaaaanza inaanzishwa tulikuwa wa2 mimi na mfanyakazi mwenzangu (manzi) tukapata chumba kimoja tuu na ndio kilikuwa kimesalia poote pale (nilifurahi kimoyomoyo japo nilijidai nalalamika daah daaah). ilibidi nilale nae tuu ..... sema nyakati za usiku ilibidi tuwe tunasahaulishana matatizo.. nakazalika nakazalika..
 
Last edited:
Back
Top Bottom