20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Hiii scenario ya pili, Inafurahish.Sitasahau niliendaga morogoro vijijini (hata jina nimelisahau) kikazi sasa ukafika wakati wa kutafuta gest... aisee sikuwahi kujua kama kuna gest za buku mbili.. buku tatu.. daah .. kwanza niliogopa nkajua leo nalazwa gereji aseee.. ila sema ka-gest kalikuwa sex kinoma noma.. tushuka tusafi ila tumefubaa..godoro jembamba... yaan niliona masaa ya usiku yameongeseka duuh..
Nyingine niliendaga wilaya ya kilindi kipindi hicho ndo kwaaaaaanza inaanzishwa tulikuwa wa2 mimi na mfanyakazi mwenzangu (manzi) tukapata chumba kimoja tuu na ndio kilikuwa kimesalia poote pale.. ilibidi nilale nae daaah ..... sema nyakati za usiku ilibidi tuwe tunasahaulishana matatizo.. nakazalika nakazalika..