Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
Hahahahah Nimekosa usingizi Nipo Mbeya kwenye Guest chafu vibaya Sana Sana
Juzi nimefika Mbeya usiku , Logde za jirani na stend ni Low quality sana.Chumba cha 20000 hutaamini kilivo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah Nimekosa usingizi Nipo Mbeya kwenye Guest chafu vibaya Sana Sana
Wewe hujui thamani ya k kwa mwanaume[emoji23] [emoji23] [emoji23] uanaume mzigo,hapa naelekea kugegeda kitoto kimoja chuchu saa sita kimboka, nilikiona juzi Leo lazima nikakivue chupiWanaume mmeumbiwa mateso kweli. Yani mpaka kunguni kisa k? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume mmeumbiwa mateso kweli. Yani mpaka kunguni kisa k? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ni kama mimi tu hakuna kulala [emoji23][emoji23][emoji23]Hapo Dar hata hoteli za bei bado ni balaa, nimewahi kulala kwa moja ila usiku ukawa mrefu kisa miguno ya Dada aliyekua analiwa kwenye chumba jirani.
Nilitegemea wamalize mchezo ndani ya dakika 15 ili nipate amani, ila sijui jemba lilikua limekula nini maana dah nusra wakeshe.
Hahahahahahahaha hukupiga picha jamaniMimi sitasahau,kuna guest house niliwahi kulala maeneo ya Ifisi mkoani Mbeya.Wenyewe wameipa hadhi ya Self contained rooms,nililetewa maji ya moto kwenye ndoo.Lakini kilicho niacha hoi ni mhudumu kuniletea kipande cha sabuni ya jamaa iliyyokwisha tumika pamoja na jiwe la kusugulia miguu!daah!
Kisa cha pili ni kulala katika guest moja huko songea.Nikapewa chumba self-contained,choo ndani kwa ndani,lakini choo chenyewe cha shimo(cha kulenga).Naomba kuwasilisha.
hahhahhahhhaaaa kuna lodge moja mbagala kwa nje ni nzuri sana tena ghorofa ila ndani vitanda ni vya zege aisee vina kunguni kinyama yaan
Mkuu hebu tupe hiyo ya bangkok tafadhalicha ajabu sasa vurugu zangu zote bongo sijawahi kutokewa na tukio la ajabu zaidi ya kamchepuko kalikuwa kanaumwa presha ya kushuka nilitoka jasho hyo siki japo aliyekuwa anaumwa ni mwingine
yaani nilikuwa najiona kabisa navyotokea front page magazeti ya udaku... Mkaka Mtanashati Afiwa na Demu lodge
ila kisanga ni nilichokutana nacho bangkok huku kuvamia miji ya watu kubaya sana... ni tukio ambalo sitakuja lisahau pombe zilikata hapohapo
Kimboka si kwa madada poa lakini? Hamsikii kinyaa mkiwalala?Wewe hujui thamani ya k kwa mwanaume[emoji23] [emoji23] [emoji23] uanaume mzigo,hapa naelekea kugegeda kitoto kimoja chuchu saa sita kimboka, nilikiona juzi Leo lazima nikakivue chupi
Kimboka mbona kuna mademu wakali tu classic tu,tena watamu kuliko hata masista duu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,sio wote lakini hahaKimboka si kwa madada poa lakini? Hamsikii kinyaa mkiwalala?
Tupe habari,umekutana na jini niniSitasahau kilicho nipata dk45 zilizopita
Kawe kulitokea nini mkuu?sitapasahau kawe
Mkuu hebu tupe hiyo ya bangkok tafadhali
Kimboka si kwa madada poa lakini? Hamsikii kinyaa mkiwalala?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni sanaakili ya kichwa cha chini huwa inaamka baada ya bao la kwanza hapo ndio unaanza kujilaumu na unaweza hata ukahairisha game ila sio before