Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Mi napenda mwanaume achelewe[emoji6][emoji6]
Mama Sabrina, nkwambie ukichelewa mwanaume ishuuu, lazima mwanamke alalamike, Jana tuu nilikuwa nakuongoza mzigo, ulinisumbua Sana, sasa jana ukajichanganya, nikaugonga gongaaaaaaa gongaaaaaaaaa, ukaanza kusema kojoa bwana kwani umekunywa dawa ya kutokojoa!? Nikamjibu kawaida tuu, .... Kama alivosema jamaa ukichelewa nongwaa, ukiwahi nongwaaa
 
Daah mkuu pole sanaaaa!! Ila umehitimisha vema sana stori yako
 
kuna ki gest barabara ya London bar ( ubungo maziwa) nilikuta godoro zake ziko choka pia, mvuta sigara alikuwa katoka kumaliza haja zake, chumba kizima sigara tupu, ukizingatia by the time nimezunguka kama sehemu tano hivi pote nafasi zimejaa
 
Hata bagamoyo vipo hivyo. Na vinakuwa vigodoro vidogo utadhani vya wanafunzi wa nursery
 
Ha ha ha ha ha. Mtakufaa jamani...loh
 
Niliikuta pale ubungo maziwa Kama kaburi, ilibidi tuanze kucheka na mchepuko wangu!! Maana hakuna aliyetarajia kukuta Kitanda dizaini hiyo.
Eeh mnavunjaga vitanda vya Mbao ndio maana wamewawekea zege
 
Nimecheka sana[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…