Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Yalinikuta guest moja karibu na stendi ya zamani Jijini Tanga ili niwahi basi la kwanza. Usiku kama saa 6 hivi nasikia dada analia kilio cha mahaba. Baada ya kumaliza mambo yao ile njemba ikamuuliza yule dada, nimekufanya nini, yule dada akajibu umenipiga! Nilijisikia vibaya sana na tangu siku hiyo sifikii hiyo guest, naenda guest za mbali na mji.

Vv
 
Asalam Aleikhum, Shalom, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Christo . Natumai mu salama,
Wanajamviii bwana, kunasiku 1 nilisafiri kikazi mkoa wa Lindi, tulikuwa kama mtu 7, wanaume 6, na mmoja ni mwana mama. Sasa Tukafikia Lodge/Guest flani hivi near Bahari, siikumbuki jina (na SINAHAJA YA kutaka kuikumbuka) , basi kwakuwa vijana tuna mambo mengi tulivofika tuu tukashuka garini vijana tukazama kwenda kucheki sampuli za vyumba. Huku tukiwa na mpango Yule mama na wengine wenzetu watatu (Me) tuwaengue tusilale nao gesti 1 ili tujitanue kufanya yetu. Basi kuingia tukakuta vyumba self-contained 4, fasta jamaa akarudi kwenye gari akawaambia jamanii kuna nafasi zipo 3, kwahiyo sie tumefika, akashuka kijana mwingine tukawa watatu, wazee/watuwazima 3 near 40 mama na Dereva wakaenda kutafuta gesti maeneo ya Lindi Stend. SASA Kama ilivo mambo ya vijana tukajichanganya bar 1 . Kula, kunywa na baadae tuondoke na vimwali, SI NDIO NKAOPOA MWALI 1, tukasepa mpaka gesti, sasa tumo ndani kila kijana akimuhemea mdada alomuopoa mara nikasikia mlangowangu unagongwa, nikakatisha kula papuchi nkaendakufungua nikiwa na imani ni mwenzangu labda anashida, kucheki ni mdada muhudum wa Gesti, akanambia Kwa upole, huyo mdada ulonaye anaitwa nje, nikamjibu poa, sasa kwakuwa vijana wenu nilikuwa sijakojoa nkajua huyu dem atakuwa anawengi so mpaka nikojoe ndio nimruhusu atoke maana nikimruhusu kabla anaweza asirudi. Nikakomaa na gem nikashusha kimoja cha fasta. Namaliza tuu mlango unagongwa tena, nikampa ujumbe oyaa kunawatu wanakuulizia nje, kawasikilize! Anafungua mlango mala naona njemba 2 zimemdaka, mie naangalia tu, wakatoana nje, Sikujihusisha nkatulia ndani kimyaaa. Mara mlango ukagongwa nikajua dem anarudi, mlango ukapigwa teke jamaa Kama 5hiv zikaingia wakaanza kutaka kunitoa nje, nikaona nikibishana nao itakuwa noma, basi nkatoka nikamkuta dem kakalishwa chini, alafu jamaa 1 anamlinda. Kufika wakasema nimeMt.. mba dem wao kwahiyo wanataka hela, simu,. Nikawaambia mie sijamtmba na pale ndani ndio kwaaanza tulikuwa tunaelewana bei. Hawakuamini wakamuuliza dem akawajibu hivo hivo, wakaniachi wakaanza kumpakichapo dem huku wanaondoka kuelekea bar, mie nikarudi ndani nkachukua kibegi changu nkasepa. JAMANI TUJIFUNZE. kesho yake tukapiga kazi wenzangu wananiuliza mbona tumeamka asubuhi hatujamuona ulilala wapi, sikuwajibu ukweli nikawaambia nilipata dem anageto lake kwahiyo ndo nalalakwake. Sasa siku tunaondoka jamaa wakaanza kunipakisa kisa kilichotokea, wakasema afadhali nilivopata dem mwingine nikalala kwake sababu kunajamaa walikuwa wanakuja gesti Pale kama Mara tatu wananiulizia kwa Mgeni Chumba namba 9. Bila mafanikio hawakunipata. Inaonesha Demu walimpiga kichapo cha mbwa koko ikabidi aseme kuwa nilimtomb. Nadhani ndio wakaanza msako huoni. Sasa Jamaa zangu waliambiwa na Nani,? Kumbe ni muhudumu, !!!!! Tulivo rudi kazini Jamaal zangu tulokuwa nao wakanitunga Jina LA OSAMA kisa natafutwa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JAMANI SOMO HILI. pia Yule dem alirudi pale gesti akachukua namba yangu ya simu, akinikumbukaga ananisalimia. NAOMBA KUWASILISHA, NIMEKOMA JAMANI
 
We jamaa unakuaga una mikosi sana kwenye haya mambo, unakumbuka yule Demu aliyechukua laki na ishirini kizembe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duke Mkuu, asante Kwa pole. Lakini Ninayohadithia ni mikasa na visa. Ila kama ukitaka Mengine ya Raha sema ntakujuza maana yapo mengi. Ila kutokana na KICHWA CHA HABARI CHA HAPO JUU, nadhani tunashea tulokumbana nayo Kama changamoto. Asante
 
We jamaa unakuaga una mikosi sana kwenye haya mambo, unakumbuka yule Demu aliyechukua laki na ishirini kizembe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kizembe! Usiombe yakukute, utatamani Ardhi ipasuke uingie, naomba nikusahihishe, sio mikosi bali ni setbacks HASA UKIWA MTUMIAJI MKUBWA WA GESTI/LODGE,/HOTELS sasa mie ni msafiriji Sana kikazi, na MPENDA MIZIGO, SIWEZI KULALA siku 2 SIJAPIGA MZIGO, UJUE NTAUMWA NA NIKIENDA KUPIMA NTAKUTWA NA MALARIA, TYPHOID, AMEOBA,. asante naomba kuwasilisha
 
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi viwanja gani unavikubali dar
 
Nijuzeni ni guest zipi kwa mbeya mjini nitapata hizo huduma za wadada wa kali.
 
K29 aisee mie bwana mbeya nimetoka muda kidogo nadhani safari za mbeya mwisho 2004/2007
 
Mzee baba mie Kwa sasa nimestaafu, ILA KULIKUWA NA AMBIANCE, KONA, BALACUDA, TOROKA UJE, JOLLY, CLUB BILLCANAS, COCO BEACH, MIKADI, KAWE (sipakumbuki vizuri), Bahama mama, YENu, TMK - Pile nk
Kweli wewe ulikuwa master hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujana maji ya moto !!!! Bila kupasahau BUGURUNI MALAPA, ya enzi hizoooooo
 
Back
Top Bottom