Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Hiii scenario ya pili, Inafurahish.
 
Ulijuaje kama ananyonyesha?
 
Atakuwa alikuwa mwanaume wa mkoani huyo
 
Hahaaaaaa!!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo manzi alikuwa analipa lakini?
 
Buguruni kimboka,kwanza mazingira machafu,vigodoro vidogo vimechakaa,harufu mbaya, halafu nilimwagia mabao yangu kwenye mashuka yao,Mwenyezi nisaidie nisifanye uzinzi tena,kwa kweli sio kitu rahisi kuwa mwanaume, uanaume mzigo,najitahidi kuacha Kununua madada poa japo buguruni kuna vitoto vya sekondari chuchu saa sita
 
Ahahahaha mzee baba umetishaaaaa!!!!!
 
Ahahahaha mzee baba umetishaaaa
 
Mimi sitasahau,kuna guest house niliwahi kulala maeneo ya Ifisi mkoani Mbeya.Wenyewe wameipa hadhi ya Self contained rooms,nililetewa maji ya moto kwenye ndoo.Lakini kilicho niacha hoi ni mhudumu kuniletea kipande cha sabuni ya jamaa iliyyokwisha tumika pamoja na jiwe la kusugulia miguu!daah!
Kisa cha pili ni kulala katika guest moja huko songea.Nikapewa chumba self-contained,choo ndani kwa ndani,lakini choo chenyewe cha shimo(cha kulenga).Naomba kuwasilisha.
 
Haha hicho choo si mchezo
 
Hiyo ya songea noma h[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hii itakuwa chai hii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…