Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

[emoji16][emoji16] dah kuna mda unaweza kujiona upo mwenyewe, kumbe wanachama tupo wengi hivi
 
Nilienda guest moja dodoma ,sasa kabla sijalipa huwa napenda kukagua kwanza chumba.chumba kilikuwa kisafi lakini nikaamua kupanda kwenye kiti kukagua juu ya kabati la nguo;nikakuta condom kama ishirini zilizotumika.nikamuuliza muhudumu kwa nini hawafanyi usafi vizuri? Akanijibu nimekwenda pale kutafuta chumba au kufanya ukaguzi akanisonya akaniacha nimeduwaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka hii kali maji kwenye ndoo na jiwe la kusugulia mguu mm niko hoi kwa [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niliwah kulala guest maeneo ya mabibo hostel..kitambo flani...nilikua n mtt mzur mmj hv ilivyofik mida ya sa sab usiku nikaj kugongew n muhudumu naambiw mwenye chumba karud....aah ni noma

Mkuu mimi nakumbuka nililala guest moja bukoka mjini, mida ya saa nane usiku muhudu akanigongea mlango, kabla sijafungua nikamuuliza kuna nini? Akaniambia 'hebu fungua mara moja' nikafungua akaniambia alisahau kuweka kandambili bafuni.
 
Haha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwamba kiherehere kushinei mkuu. Ila nimecheka daaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nakumbuka nililala guest moja bukoka mjini, mida ya saa nane usiku muhudu akanigongea mlango, kabla sijafungua nikamuuliza kuna nini? Akaniambia 'hebu fungua mara moja' nikafungua akaniambia alisahau kuweka kandambili bafuni.
Duh.. Hakuja na kanga moja huyo kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nakumbuka nililala guest moja bukoka mjini, mida ya saa nane usiku muhudu akanigongea mlango, kabla sijafungua nikamuuliza kuna nini? Akaniambia 'hebu fungua mara moja' nikafungua akaniambia alisahau kuweka kandambili bafuni.
Neno samaki kusoma HUWEZI , HATA PICHA PIA AAAAAAAH BWANA . Kwa sisi timu ma fisi hiyo ni mbuzi kafia geto, Chakhula, aaaam. Aaaam ,, HATOKI NG'O

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…