Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Kizembe! Usiombe yakukute, utatamani Ardhi ipasuke uingie, naomba nikusahihishe, sio mikosi bali ni setbacks HASA UKIWA MTUMIAJI MKUBWA WA GESTI/LODGE,/HOTELS sasa mie ni msafiriji Sana kikazi, na MPENDA MIZIGO, SIWEZI KULALA siku 2 SIJAPIGA MZIGO, UJUE NTAUMWA NA NIKIENDA KUPIMA NTAKUTWA NA MALARIA, TYPHOID, AMEOBA,. asante naomba kuwasilisha
[emoji16][emoji16] dah kuna mda unaweza kujiona upo mwenyewe, kumbe wanachama tupo wengi hivi
 
Duu
fuu.jpg
 
Nilienda guest moja dodoma ,sasa kabla sijalipa huwa napenda kukagua kwanza chumba.chumba kilikuwa kisafi lakini nikaamua kupanda kwenye kiti kukagua juu ya kabati la nguo;nikakuta condom kama ishirini zilizotumika.nikamuuliza muhudumu kwa nini hawafanyi usafi vizuri? Akanijibu nimekwenda pale kutafuta chumba au kufanya ukaguzi akanisonya akaniacha nimeduwaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sitasahau,kuna guest house niliwahi kulala maeneo ya Ifisi mkoani Mbeya.Wenyewe wameipa hadhi ya Self contained rooms,nililetewa maji ya moto kwenye ndoo.Lakini kilicho niacha hoi ni mhudumu kuniletea kipande cha sabuni ya jamaa iliyyokwisha tumika pamoja na jiwe la kusugulia miguu!daah!
Kisa cha pili ni kulala katika guest moja huko songea.Nikapewa chumba self-contained,choo ndani kwa ndani,lakini choo chenyewe cha shimo(cha kulenga).Naomba kuwasilisha.
Kaka hii kali maji kwenye ndoo na jiwe la kusugulia mguu mm niko hoi kwa [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niliwah kulala guest maeneo ya mabibo hostel..kitambo flani...nilikua n mtt mzur mmj hv ilivyofik mida ya sa sab usiku nikaj kugongew n muhudumu naambiw mwenye chumba karud....aah ni noma

Mkuu mimi nakumbuka nililala guest moja bukoka mjini, mida ya saa nane usiku muhudu akanigongea mlango, kabla sijafungua nikamuuliza kuna nini? Akaniambia 'hebu fungua mara moja' nikafungua akaniambia alisahau kuweka kandambili bafuni.
 
Nilienda guest moja dodoma ,sasa kabla sijalipa huwa napenda kukagua kwanza chumba.chumba kilikuwa kisafi lakini nikaamua kupanda kwenye kiti kukagua juu ya kabati la nguo;nikakuta condom kama ishirini zilizotumika.nikamuuliza muhudumu kwa nini hawafanyi usafi vizuri? Akanijibu nimekwenda pale kutafuta chumba au kufanya ukaguzi akanisonya akaniacha nimeduwaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ha

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwamba kiherehere kushinei mkuu. Ila nimecheka daaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nakumbuka nililala guest moja bukoka mjini, mida ya saa nane usiku muhudu akanigongea mlango, kabla sijafungua nikamuuliza kuna nini? Akaniambia 'hebu fungua mara moja' nikafungua akaniambia alisahau kuweka kandambili bafuni.
Duh.. Hakuja na kanga moja huyo kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nakumbuka nililala guest moja bukoka mjini, mida ya saa nane usiku muhudu akanigongea mlango, kabla sijafungua nikamuuliza kuna nini? Akaniambia 'hebu fungua mara moja' nikafungua akaniambia alisahau kuweka kandambili bafuni.
Neno samaki kusoma HUWEZI , HATA PICHA PIA AAAAAAAH BWANA . Kwa sisi timu ma fisi hiyo ni mbuzi kafia geto, Chakhula, aaaam. Aaaam ,, HATOKI NG'O

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom