Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Nakumbuka mwaka 2011,nilikuwa na demu basi akaniambia tafuta guest ili mimi nikifika nizame ndani tu, da kilichokuja kutokea ndio mwenyewe najua

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kama unataka ku share your experience kwann ulikuja kuandika kua we mwenyewe ndo unajua mnazingua kinyama raia Kama nyie
 
Kuna demu mmoja wakichaga hivi ni mzuri kwakweli, miaka yote ziwa halitikisiki, juzi nimekutana nae nikamuuliza vipi biashara ya papuchi vipi bado inaendelea???? Mim sio mpenz wa mambo hayo nikawa namtania_alichonijibu kwamba""ALIKUWA ANAGAWA PAPUCHI ILI AJENGE, SASA AMESHAJENGA PAPUCHI YAKE ANAITULIZA" [emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]
Watoto wa uswazi ni shida aiseee....anajua miguno ya baba yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahqhqhqh, mbunye sio mchezo kabisa, unaweza pigiwa simu ya msiba n ukasema wasubiri kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan hela hawaapatagi????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahqhqhqh, mbunye sio mchezo kabisa, unaweza pigiwa simu ya msiba n ukasema wasubiri kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenvunja mbavu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilienda kufanya kazi kwenye kisiwa kimoja ziwa victoria, gesti ni za mabanzi, ilipofika usiku gesti nzima ilikuwa kama karakama ya kutengenezea milango!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwaisome hiup kabiga au migingo
 
Chai
 
Mwaka flani nilienda machimboni, nilifika usiku nikachukua room guest za mabati.

Baada ya kupiga msosi, ikabidi nirudi room kupumzika mapema kutokana na uchovu wa safari.

Ilipofika saa6 usiku nikawa kama naota tunakimbiza mwizi, kelele kama zote ile kuja kushtuka......

Ebhanaeee!! Ni milio ya vitanda vya miti, mabati,na zote kelele za minyanduano afu vyumba vyote vya jirani, yaani kifupi sikulala.
 
Hizo zipo sana visiwani
 
Sa
sasa si guest yote ilikua juu ya mashimo 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…