Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Nakumbuka mwaka 2011,nilikuwa na demu basi akaniambia tafuta guest ili mimi nikifika nizame ndani tu, da kilichokuja kutokea ndio mwenyewe najua

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kama unataka ku share your experience kwann ulikuja kuandika kua we mwenyewe ndo unajua mnazingua kinyama raia Kama nyie
 
Kuna demu mmoja wakichaga hivi ni mzuri kwakweli, miaka yote ziwa halitikisiki, juzi nimekutana nae nikamuuliza vipi biashara ya papuchi vipi bado inaendelea???? Mim sio mpenz wa mambo hayo nikawa namtania_alichonijibu kwamba""ALIKUWA ANAGAWA PAPUCHI ILI AJENGE, SASA AMESHAJENGA PAPUCHI YAKE ANAITULIZA" [emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]
Watoto wa uswazi ni shida aiseee....anajua miguno ya baba yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahqhqhqh, mbunye sio mchezo kabisa, unaweza pigiwa simu ya msiba n ukasema wasubiri kwanza
Nakumbuka miaka 2008 hv nilienda machi machi gest ya pale kinondoni na katoto flan hv kadogo dogo,sasa ile tunaanza mambo akasikia kama sauti ya baba yake mzazi chumba kinachofuata,ikabidi asimamishe mauno kwanza akaniambia mbona nasikia kama sauti ya baba yangu analalamika chumba cha pili..basi akanipa namba na kuniambia niipigie ..nikaiweka zile code za kuficha ili kwake itoke private namba na asiijue namba iliyompigia..heeee ile kupiga bwana kweli tukasikia inaita chumba cha pili..nikakata nikamsikia akilalamika kuwa huyu mpumbavu ni nani anabipu bipu watu..duuuu mpaka hapo tukawa na uwakika kwa asilimia 100 kuwa baba mkwe anakamua chumba cha jirani..sitasahau siku ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikwenda mwenyewe nilikua natoka zangu mishe sasa kuna dada mmoja hivi alinizidi miaka 5+ ila ilikuwa sikuwahi kula siku hiyo ndo akawa anataka gemu sasa nikamtumia buku 20 achukue room kabisa khaa si kaleta ubahili akaenda pale kuchukua room ya elfu 10 ***** tulipata hasara ikabidi atoe na ile 10 iliyobakia nikaongeza na nyingine tukaenda sehemu nyingine...ukiona kwa nje iko poa ila ndani tanda la zege tv haifanyi kazi yaan kupo rafu vurugu tupu afu nje ndo bar jau jau *****
Kwan hela hawaapatagi????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahqhqhqh, mbunye sio mchezo kabisa, unaweza pigiwa simu ya msiba n ukasema wasubiri kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sitasahau,kuna guest house niliwahi kulala maeneo ya Ifisi mkoani Mbeya.Wenyewe wameipa hadhi ya Self contained rooms,nililetewa maji ya moto kwenye ndoo.Lakini kilicho niacha hoi ni mhudumu kuniletea kipande cha sabuni ya jamaa iliyyokwisha tumika pamoja na jiwe la kusugulia miguu!daah!
Kisa cha pili ni kulala katika guest moja huko songea.Nikapewa chumba self-contained,choo ndani kwa ndani,lakini choo chenyewe cha shimo(cha kulenga).Naomba kuwasilisha.
Umenvunja mbavu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ilikuwa siku moja kabla ya kurudi bongo baada ya wiki nzima ya mishemishe bangkok sasa nikasema lazima nile malaya wa kithailand... kuna red light street moja ipo kama unatoka bangkok nikazama mzee mida kama saa nne usiku nikala bia za kutosha sasa nikicheki hizi malaya kibao wakikuona mgeni wanakumendea

kuna moja hilo lilikuwa lina bonge chura na Boobs za kubust zile nikasema yeeees ndio mambo yangu haya

nikamwita kwa ishara ya mkono akaja baada ya kuongea naye bei akasema kama sina thailand Bhaht 1300 basi nimpe USD 40 usiku mzima nikasema haina mbaya ilimradi fantasy yangu itimie

room akasema palepale pub kuna rooms nzuri tu hapo kashaniruhusu nimpapase kifua ila mkono hataki kabisa nipeleke kunako papuchi

basi hao tukaingia room piga romance sana sasa akaanza zile za kizungu.. akanisukuma kitandani alafu akasimama mbele yangu anavua nguo mambo kote yalienda fresh

akabaki na chupi akaniuliza nakumbuka hadi maneno "how would u like it? i take it first or u will take it first or am all yours?" bado nang'aa sharubu nashangaa

akatoa chupi mungu wanguuuu demu ana dudu bhna yani hapo ndio nikakumbuka kuwa bangkok kumejaa wale SHEMALES huku bado nikiwa katika taharuki

akaanza kunambia dont be dissapoited bby there is always a first time in everything

nakumbuka nilimpa hela yake na kutoka mbio pombe zote zimeniisha.. nikamsimulia mwenyeji wangu akanicheka sana.. akasema wenyewe kule wanawaita kayote

cc Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilienda kufanya kazi kwenye kisiwa kimoja ziwa victoria, gesti ni za mabanzi, ilipofika usiku gesti nzima ilikuwa kama karakama ya kutengenezea milango!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwaisome hiup kabiga au migingo
 
ilikuwa siku moja kabla ya kurudi bongo baada ya wiki nzima ya mishemishe bangkok sasa nikasema lazima nile malaya wa kithailand... kuna red light street moja ipo kama unatoka bangkok nikazama mzee mida kama saa nne usiku nikala bia za kutosha sasa nikicheki hizi malaya kibao wakikuona mgeni wanakumendea

kuna moja hilo lilikuwa lina bonge chura na Boobs za kubust zile nikasema yeeees ndio mambo yangu haya

nikamwita kwa ishara ya mkono akaja baada ya kuongea naye bei akasema kama sina thailand Bhaht 1300 basi nimpe USD 40 usiku mzima nikasema haina mbaya ilimradi fantasy yangu itimie

room akasema palepale pub kuna rooms nzuri tu hapo kashaniruhusu nimpapase kifua ila mkono hataki kabisa nipeleke kunako papuchi

basi hao tukaingia room piga romance sana sasa akaanza zile za kizungu.. akanisukuma kitandani alafu akasimama mbele yangu anavua nguo mambo kote yalienda fresh

akabaki na chupi akaniuliza nakumbuka hadi maneno "how would u like it? i take it first or u will take it first or am all yours?" bado nang'aa sharubu nashangaa

akatoa chupi mungu wanguuuu demu ana dudu bhna yani hapo ndio nikakumbuka kuwa bangkok kumejaa wale SHEMALES huku bado nikiwa katika taharuki

akaanza kunambia dont be dissapoited bby there is always a first time in everything

nakumbuka nilimpa hela yake na kutoka mbio pombe zote zimeniisha.. nikamsimulia mwenyeji wangu akanicheka sana.. akasema wenyewe kule wanawaita kayote

cc Shunie
Chai
 
Mwaka flani nilienda machimboni, nilifika usiku nikachukua room guest za mabati.

Baada ya kupiga msosi, ikabidi nirudi room kupumzika mapema kutokana na uchovu wa safari.

Ilipofika saa6 usiku nikawa kama naota tunakimbiza mwizi, kelele kama zote ile kuja kushtuka......

Ebhanaeee!! Ni milio ya vitanda vya miti, mabati,na zote kelele za minyanduano afu vyumba vyote vya jirani, yaani kifupi sikulala.
 
Hizo zipo sana visiwani
 
Sa
Mimi sitasahau,kuna guest house niliwahi kulala maeneo ya Ifisi mkoani Mbeya.Wenyewe wameipa hadhi ya Self contained rooms,nililetewa maji ya moto kwenye ndoo.Lakini kilicho niacha hoi ni mhudumu kuniletea kipande cha sabuni ya jamaa iliyyokwisha tumika pamoja na jiwe la kusugulia miguu!daah!
Kisa cha pili ni kulala katika guest moja huko songea.Nikapewa chumba self-contained,choo ndani kwa ndani,lakini choo chenyewe cha shimo(cha kulenga).Naomba kuwasilisha.
sasa si guest yote ilikua juu ya mashimo 😂😂
 
Back
Top Bottom