I AM NO ONE
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 389
- 576
Hahaha sawaaaa nimekusikiaaaaa.Usifanye huo ujinga
Kwaio kikuu ni wezi waliojitambulisha mtandaoni.Kwa experience yangu unavyoona pale mtandaoni utakuna kushangaa ukishika mkononi.
Utahuzunika kuwa umeibiwa.
Sijasema ni wezi lakini kwa uzoefu wangu ukiona bidhaa mtandaoni ilivyo ukanunua bidhaa halisi lazima inakuwa na mapungufu haiwi kama ile uliyoiona ukaipenda kwenye picha.Kwaio kikuu ni wezi waliojitambulisha mtandaoni
Hivi Aliexpress unaweza kununua pc 1?Nunua aliexpress
Ndiyo. Lakini ni gharama kubwa kusafirisha. Kwa PC mi naona bora ununua hapa hapa. lakini kwa simu na vitu vingine wako vizuri sana.Hivi aliexpress unaweza kununua pc 1?