Waliowahi kununua simu kikuu online tupe matokeo ya simu hizo

Waliowahi kununua simu kikuu online tupe matokeo ya simu hizo

I AM NO ONE

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
389
Reaction score
576
Habari,

Ebana nataka kujaribu kununua simu kikuu online. Naomba aliewahi kununua kwa njia hiyo anijuze ni nzuri au zinakuwa famba.
 
Nimenunua simu kadhaa kikuu tatizo kubwa ni charge na mifumo ya yake.
 
Mie nishanunuaga iphone 5s kikuu dah! ilikuwa inachemka hatari mpaka kuna siku kwa hasira nikaidumbukiza kwenye jag la maji ya kunywa uliskika tu mlio wa kama nimeweka jiwe la moto fyuuuuuuu.
 
Kikuu walikuwa vizuri siku za nyuma nakumbuka niliagiza shela ya harusi, nilipigiwa na mchina japo ilikaa mda mrefu sana zaidi ya siku 50 lakini ilikuwa safi.
Kwa sasa hawafai kabisa.
 
Mi simu ninayotumia sasa hivi apa nimenunua uko, mwanzo ilikuja inazingua mambo ya mtandao nikawa natumia VPN ila baada ya kufanya update ya software mara kazaa sahv haina shida, kuhusu kukaa na chaji siwez laumu ni simu ya 2016 betri yake ni ndogo toka inavotengenezwa. Ila nilichojifunza ni muhimu kujua simu unayotaka kununua kama inaendana na network za ukanda uliopo
 
Back
Top Bottom