Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Fafanua kdg hii ili nianze kuitumiaKama huwezi vyote kunywa maji ya moto na limao asbh na jion inasaidia me ndo ninvyofanya hayo mengine yanataka moyo utaanza siku mbili ya tatu umeshaacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua kdg hii ili nianze kuitumiaKama huwezi vyote kunywa maji ya moto na limao asbh na jion inasaidia me ndo ninvyofanya hayo mengine yanataka moyo utaanza siku mbili ya tatu umeshaacha
diet tu bila mazoezi ni bure.Natamani sana kupungua ndugu zangu nilijitahidi sana na diet ila kwa sasa imenishinda
duh,, hiyo kweli, halaf huwa wanajiachia wazimawazima.Sipendi MTU akiwa bonge sana sasa kwenye dala dala wote mnalipa nauli sawa alafu yeye anakalia siti moja na nusu ww anakuachia nusu nasikiaga hasiraaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] diet please.Dah mi hili tambi linanitesa balaa, sijui nitumie nini liishe.... Nikitembea padogo tu ulimi nje[emoji36][emoji26][emoji36][emoji36]
Chakula je! Pamoja na mazoezi hayo ulimantain vipi chakulaNiliwahi Kuwa mnene hadi nikawa najikatia tamaa jinsi nilivyo,unene usikie kwa jirani unachosha sana,kilo zangu hazikuwa chini ya kg120.sasa hivi Nina kg70.,kama unapiga gym na wewe ni mnene usinyanyue vyuma we pendelea kukimbia na kuruka kamba au kuendesha baskel Mazoezi haya yanapunguza mwili kwa kasi kuliko ..unapotoa jasho jingi ndivyo na uzito unashuka kwa haraka,Mimi nilifikia kuondoa hadi kilo 1 kwa siku.!
exactly.pamoja na wanga..hata nguvu za kiume the same appliesTatzo watu wengi hawajui kuwa sukari ndiyo inayinenepesha kwa haraka sana kwahyo ukitaka kuanza diet anza na kuto kula kitu chochote chenye sukari kama soda majuicy na chai