Waliowai kusoma/waliochaguliwa NJOMBE sec school

Waliowai kusoma/waliochaguliwa NJOMBE sec school

Mpechi ni shule ya sekondari,ilikuwa na wasichana wengi,katala ni maandazi,nyamagana ni choo maarufu,2006 kilikarabatiwa[kupaka rangi kuta na mabomba] kwa 15milioni,wanafunzi wakasema kiuzwe wanunue ubwabwa! ndovu ni msitu wa shule!

nimekusoma bro
 
aaah aaah kitu Mpechi....mi ile nimefika tu nikaanza kusikia mpechi mpechi...nikajiuliza mpechi ni nini hiki?

...nimemaliza 95,those days ilikuwa O level pekee na mpechi ilikuwa ya wananchi, nasikia kuna mabadiliko sana, headmasta wangu alikuwa Mwansele akaondoka akaja Mwanyigu...
 
bila kusahau kuna wase*ge wanaitwa scout..ogopa sana!bt ukiwa mbishi,utakula nao sahani 1
 
Njoss pako poa unaoga mara moja kwa week 2,sura ngumu zote,msosi baada ya kula lazima umeze panadol,usitegemea teachers at all, nyamagana mpango mzima ful kujiachia,ukitoka pale haina haja ya jeshi@ ni maisha ya kawaida ya shule do not worry
 
Niambien nijiandae na v2 gan vya kwenda navyo huko na inaweza kughalim kiasi gan?
 
Niambien nijiandae na v2 gan vya kwenda navyo huko na inaweza kughalim kiasi gan?

ada elfu 75 unalipa nusu, sweta elfu 5 suruali elfu 7 ( sijajua bei ya cku hiz) ndoo ya kuogea japo utakuwa unaoga mara 1 kwa mwez, kikopo cha uji na ugali kama mbishi maharagwe kwene kikombe ugal unashka mkononi, kwanja, jembe ( sidhan now days kama wanapeleka ) godoro saiz ya mwisho 3.5 nahisi, blanket kiatu cheusi sox nyeupe. kiufupi bana hiz government school hazina gharama mi nakumbuka gharama ilikuwa kama elfu 60 semester ya kwanza. mfumuko wa bei umeingilia so jipange kisela.
 
hahaa katala, chaugingi -ulanzi, chuo cha maendeleo mpechi- hiv/aids, nyamagana hapafai msitu wa ndovu ndio wenyewe.

Bas 2005 ulifunguliwa ukumbi wa disco unaitwa Alabama,n noma vjana wa hgl na hge ndo walikua wanashnda pale
 
ada elfu 75 unalipa nusu, sweta elfu 5 suruali elfu 7 ( sijajua bei ya cku hiz) ndoo ya kuogea japo utakuwa unaoga mara 1 kwa mwez, kikopo cha uji na ugali kama mbishi maharagwe kwene kikombe ugal unashka mkononi, kwanja, jembe ( sidhan now days kama wanapeleka ) godoro saiz ya mwisho 3.5 nahisi, blanket kiatu cheusi sox nyeupe. kiufupi bana hiz government school hazina gharama mi nakumbuka gharama ilikuwa kama elfu 60 semester ya kwanza. mfumuko wa bei umeingilia so jipange kisela.

nashukuru bro kwa info. Kuna watu huku mtaan kwetu wananitisha, wanasema et kuna barid hd barafu znadondoka na wanafunz wanashnda wamevaa makot, kofia na gloves. Et hii ina ukwel wowote?
 
nashukuru bro kwa info. Kuna watu huku mtaan kwetu wananitisha, wanasema et kuna barid hd barafu znadondoka na wanafunz wanashnda wamevaa makot, kofia na gloves. Et hii ina ukwel wowote?

Unauliza baridi?,utaona yan kuoga ni mara moja kwa mwez
 
Back
Top Bottom