- Thread starter
- #21
Yepi? chauging ni mtaa/kimji maarufu ambapo wanafunzi huenda kula,kuangalia filamu za x na kutafuta mafundi vyerehani/wasichana!
asante kwa info bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yepi? chauging ni mtaa/kimji maarufu ambapo wanafunzi huenda kula,kuangalia filamu za x na kutafuta mafundi vyerehani/wasichana!
Mpechi ni shule ya sekondari,ilikuwa na wasichana wengi,katala ni maandazi,nyamagana ni choo maarufu,2006 kilikarabatiwa[kupaka rangi kuta na mabomba] kwa 15milioni,wanafunzi wakasema kiuzwe wanunue ubwabwa! ndovu ni msitu wa shule!
aaah aaah kitu Mpechi....mi ile nimefika tu nikaanza kusikia mpechi mpechi...nikajiuliza mpechi ni nini hiki?
Niambien nijiandae na v2 gan vya kwenda navyo huko na inaweza kughalim kiasi gan?
hahaa katala, chaugingi -ulanzi, chuo cha maendeleo mpechi- hiv/aids, nyamagana hapafai msitu wa ndovu ndio wenyewe.
Bas 2005 ulifunguliwa ukumbi wa disco unaitwa Alabama,n noma vjana wa hgl na hge ndo walikua wanashnda pale
ada elfu 75 unalipa nusu, sweta elfu 5 suruali elfu 7 ( sijajua bei ya cku hiz) ndoo ya kuogea japo utakuwa unaoga mara 1 kwa mwez, kikopo cha uji na ugali kama mbishi maharagwe kwene kikombe ugal unashka mkononi, kwanja, jembe ( sidhan now days kama wanapeleka ) godoro saiz ya mwisho 3.5 nahisi, blanket kiatu cheusi sox nyeupe. kiufupi bana hiz government school hazina gharama mi nakumbuka gharama ilikuwa kama elfu 60 semester ya kwanza. mfumuko wa bei umeingilia so jipange kisela.
kwan ni kitu gan iyo mpechi
nashukuru bro kwa info. Kuna watu huku mtaan kwetu wananitisha, wanasema et kuna barid hd barafu znadondoka na wanafunz wanashnda wamevaa makot, kofia na gloves. Et hii ina ukwel wowote?
Unauliza baridi?,utaona yan kuoga ni mara moja kwa mwez