Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Una uthibitisho Wa hilo swala?
Kwahiyo V kazaliwa Ocean road, ramani imedumbukia baharini uelekeo haueleweki? Mungu anakuona Niccolo🙆🏽♂️X amezaliwa Singida, Y amezaliwa Igunga, marehemu Z alizaliwa Machame. Kuna W aliezaliwa Koromije!......una swali jingine?
Povu ruksa sheikhBaba zao hawalalamiki unalalamika wewe mitandaoni
kalapina anaishi kwa baba ake?Unamfahamu lemutuz? T. I. D je unamjua?
Kina Kala Pina na utemi wao bado wanaishi kwa baba