Waliozalishwa na wakunga wa jadi ndio wanaotamba na kutawala jiji LA DSM. Waliozaliwa Ocean Road wana zaidi ya miaka 40 hadi Leo wanakula ugali wa bab

Waliozalishwa na wakunga wa jadi ndio wanaotamba na kutawala jiji LA DSM. Waliozaliwa Ocean Road wana zaidi ya miaka 40 hadi Leo wanakula ugali wa bab

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Ukweli mchungu, na taarifa mbaya kwa waliozaliwa Ocean Road.
Inasikitisha sana, waliozaliwa jiji hili wengi umri umeenda na hawana kitu, maisha yao mabovu mno, wanaishi majumbani kwa wazazi wao, kikubwa wanachofanya mjini ni kupiga mizinga kwa Joseph Kusaga na jwa wale wachache wenye uwezo, wakati huohuo, wale waliozalishwa na wakunga wa jadi ndio wanaotamba na kutawala jiji hili, huku kila kukicha wakijenga mahekalu makali.
Haya ndiyo yanaitwa mapinduzi ya fikra
 
Mtu kuishi kwao ni maamuzi yake binafsi
 
Bujibuji,
Huyo Kusaga nae si amezaliwa OR? Wewe wakuja huwezi kuwajua waliozaliwa OR ambao wanatikisa jiji! Utabaki kuwajua wakolomije wenzio mnaolazimisha huu mji wenu! Tunawachora tu
 
Back
Top Bottom