Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ukweli mchungu, na taarifa mbaya kwa waliozaliwa Ocean Road.
Inasikitisha sana, waliozaliwa jiji hili wengi umri umeenda na hawana kitu, maisha yao mabovu mno, wanaishi majumbani kwa wazazi wao, kikubwa wanachofanya mjini ni kupiga mizinga kwa Joseph Kusaga na jwa wale wachache wenye uwezo, wakati huohuo, wale waliozalishwa na wakunga wa jadi ndio wanaotamba na kutawala jiji hili, huku kila kukicha wakijenga mahekalu makali.
Haya ndiyo yanaitwa mapinduzi ya fikra