Waliozaliwa 1984 tukutane hapa tuzungumze...

Actually ukigota miaka 40 ni sawa na mechi ipo dakika ya 65 tayari Upo kwenye robo tatu ya maisha yako hapa duniani.

Kama Kuna vitu hujavifanya ukiwa 25---39 jua upo kwenye risk ya kushindwa kuvifanya kabsa

Punguza stress na pombe Anza klinik ya magonjwa kama sukari,na pressure.

Kama ulipambana mambo yakataa wekeza kwa watoto wape watoto msingi Bora wa eliumu
 
At 37 now!

1. Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na milima.

2. Kuna wakati unajikuta umefeli kabisa, huna hela huna kazi, nyumbani hawakuelewi, stress kibao.

3. Muhimu usikate tamaa ni kawaida kupanda na kushuka.

4. Mtu umpendae akikuacha usiumie bali furahi kwamba ni mwanzo wa kumpata aliye sahihi.

5. Bora kubaki single kuliko kuwa na mwenza ambaye si sahihi.

6. Kiufupi maisha haijalishi umeanguka mara ngapi bali ni mara ngapi umesimama.

7. Baada ya sarakasi za hapa na pale, nimeweza kujijenga kiuchumi, kijamii, kiafya, kisaikolojia, na kimwili, na hatimaye sasa nimebakisha miaka mitatu nifike 40 ili nianze kuishi as life begins at forty.
 
Hii Koment bila picha ni uongo mtupu kama stori za Hawafu mwenye nguvu.
 
Kama Kuna vitu hujavifanya ukiwa 25---39 jua upo kwenye risk ya kushindwa kuvifanya kabsa
Yule Mzee unaemuona km Sanamu za KFC alitoboa akiwa na Miaka 65 akawa Tajiri wa kutupwa, kuna cha kujifunza hapo

Wakati Steve Job akiwa na Miaka 20 TU alikua Tajiri wa kutupwa Ila hajavuka Miaka 60 Kansa imefanya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…