Waliozaliwa 1984 tukutane hapa tuzungumze...

Waliozaliwa 1984 tukutane hapa tuzungumze...

Nataka kukamilisha na mapacha before 35 Mkuu, sitovuka hapo. Labda Mungu aamue vinginevyo, asante.
Ukishindwa kufanikisha Mimi na-donate hizo sperm za mapacha bure kabisa, usipofanikiwa before 35 nicheck nisije nikazikwa nazo ukakosa mapacha
 
Aiseee, I will be turning 40 in November 2024,bado napambana. I have four kids mmoja Yuko sekondari tayari. Zaidi niliachwa.
Ulichelewa sana mkuu ..nimelia sana 😂😭 😭
 
Aiseee, I will be turning 40 in November 2024,bado napambana. I have four kids mmoja Yuko sekondari tayari. Zaidi niliachwa.
4 kid's umeupiga mwingi salute kwako mkuu hata km uliachwa Ila utamu umeufaidi
 
Dizaini swali halijafaaa kabisa kwa jamii hii ya jf.
Kiufupi hadi sasa. Point nyingi zimetoka kwa vijana under 32. Auu 30 kabisa. Hamna 40 alliyesema lolote hapa.
Mtoa thread, tafuta mahala kwengine.
 
Tupo tunapambania vibarua site za ujenzi mpaka tutoboe ni 60's
 
Back
Top Bottom