Hakikisha unazaa before 40 hata ukiwa single mother make sure unashusha engine before 40, utanishukuru baadae usinipuuzeHata hivyo nimepata funzo, ngoja niifurahie hii 30's nisijekuwa na majuto.
Weka account yako nikupe laki 5 ukale maandaziHii Koment bila picha ni uongo mtupu kama stori za Hawafu mwenye nguvu.
😂😂😂DahKumbe wewe ni kama mimi tu. Kila wakati lazima nigune mmmm, mmmhhhh!
Yote mipango ya Mungu Cha muhimu uzima na afya njemaYule Mzee unaemuona km Sanamu za KFC alitoboa akiwa na Miaka 65 akawa Tajiri wa kutupwa, kuna cha kujifunza hapo
View attachment 2994503
Wakati Steve Job akiwa na Miaka 20 TU alikua Tajiri wa kutupwa Ila hajavuka Miaka 60 Kansa imefanya yake
Trust me 30 is freedom but 40 ni scary very scary unahitaji uimara ku deal nayoMbona tunatishana jamani? Wakati tunaingia 30 tukaogopa sasa nyie wa 40 mnalalamika mambo kibao kuogopeshana tu.
Hata hivyo nimepata funzo, ngoja niifurahie hii 30's nisijekuwa na majuto.
Ndio km hujatoboa hata ukiwa 40 jua bado haujalifikia tobo lako kwa hio hakuna kukata tamaa endelea kuzifuata ndoto zako,Yote mipango ya Mungu Cha muhimu uzima na afya njema
Nataka kukamilisha na mapacha before 35 Mkuu, sitovuka hapo. Labda Mungu aamue vinginevyo, asante.Hakikisha unazaa before 40 hata ukiwa single mother make sure unashusha engine before 40, utanishukuru baadae usinipuuze
goodNdio km hujatoboa hata ukiwa 40 jua bado haujalifikia tobo lako kwa hio hakuna kukata tamaa endelea kuzifuata ndoto zako,
Kwa wengine "Sisi Ni Wale" na "Sisi Ndio Wale" ambao 18 upto 20 something ndio ilikua big freedom SIO 30 tulipofika 30 kuelekea 40 tukagundu nyuma huko tulikua free zaidiTrust me 30 is freedom
Kumbe kinda mamboo mie wa 1890 nitacomment wapi??Waliozaliwa 1987 (ata 37 age now** wanaruhusiwa kukomenti?
Kumbe kinda mamboo mie wa 1890 nitacomment wapi??
kuamka kwa kuguna ni vip mkuu em nieleweshe sijaelewaGuys mnaniogopesha, ina maana nikigonga forty naanza kuamka kwa kuguna? Mama yangu ndio namuona anaguna lakini ameanza in her 50's sasa hv yuko kwenye late 60's. Does it have anything to do with weight?
Lala1890 ututacomment wapi
Hutaki acha😊 Toka hapa
Migofu washindweSiyo mimi niliyesema
View attachment 2994527
1890 UPO kaburi lipi muda HUU umekunja 4 full mifupa skeletonKumbe kinda mamboo mie wa 1890 nitacomment wapi??
Sawa naacha☺️Hutaki acha
Nipo hai njoo Arusha ,maeneo kia nipo nachart nawewe1890 UPO kaburi lipi muda HUU umekunja 4 full mifupa skeleton