- Thread starter
- #21
Mh Mh Heijah mimi sikatai hoja yako ni kweli na ina mashiko labda baadhi ya wasomaji wasiwe na ufahamu wa nini kinatokea huko na effect kwenye global economy. Ila lazima ujue kwenye kila dependent variables (observation/matokeo) mara nyingi kuna attribute mbalimbali , naomba niziite independent variables (hizi si observation bali ni causes/attributes). Sasa percentage contribution ya multiple attributes/causes kwa dependent variables (observation/matokeo) zinatofautiana. Na hapa ndipo tunashindilia msumari kwa DP world; hawa jamaa watakuwa wamesababisha /contributes more than 70% ya inflation kama single attribute kulinganisha na attributes nyingine including hiyo ya conflict in the red sea. Kwani kama hoja yako ina mashiko kwa nini mizigo yote ihamie Mombasa wakati na wao wameathilika na global conflict in the red sea. Na kwa nini sis tuwe na unrealistic inflation ya more than 360 % wakati wenzetu wana only 20-50% , hiyo ni more than triple increase compared to our competetors. Je unafikiri tutwaweza kushindana.Huu mjadala ningeweza kuandika kwa kirefu tatizo liko wapi, Hii sio DP wala bandari ya Mombasa shida ni ya kidunia na wakubwa ndio wameamua hivyo. Niandike kwa kifupi sana nini kimetokea. Red sea jamaa wanashambulia meli sasa gharama zimekuwa kubwa sana kwa insurance na wakichukua njia mbadala lakini hii inaleta shida zaidi kwa nchi za ulaya na US kuliko China na zingine Asia na pia Africa.
Shipping agent wakaona kuongeza gharama kwa meli zinazoenda Ulaya tu na US itawapa advantage nchi zingine na hasa China wakaamua bei zote shipping ziwe sawa ila kutompa mtu mmoja advantage kibishara sasa hizi gharama dunia nzima zimepanda kwa maana hiyo nenda port yoyote story ni the same. Ni story ndefu kinachofanyika na wakubwa huko juu kuleta hili balaa.