Walisema huyu Nabii Tito ana matatizo ya akili Je, wataweza kumshitaki wakati ni mwehu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Walisema huyu jamaa ana matatizo ya akili (Insanity). Je, wataweza kumshitaki wakati ni mwehu

 
Kuna mtu humu kasema jamaa alipelekwa Mirembe Hospitali akatibiwa akapona. Sasa itakula kwake labda adai ugonjwa umerudi tena ili arudishwe Mirembe Hospitali mazima!!!
 
ipo sheria kuhusu afya ya akili...2008
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…