johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
...πππ...π π π π π π mbona jk hakuwa kama sabufa sasa ni zao la kibaha?
Dah tosamaganga kumbe tumepita wengiNajikumbusha tu historia ya shuleni na namna watu mnavyoweza kufanana kitabia kutokana na mazingira mliyosomea.
Mbowe na Ndugai ni zao la Kibaha secondary
Lowassa na Dr Mwakyembe ni zao la Milambo secondary
Dr Slaa na Membe wao ni Itaga seminary
Polepole na Bashe zao la Benjamin Mkapa secondary
Siyo kwamba walikuwa darasa moja bali shule moja yawezekana vidato tofauti kama mimi na mzee Mgaya pale Tosamaganga secondary.
Ila katika pair zote hapo juu hii ya Mbowe na Ndugai inatuonyesha Kibaha secondary kulikuwa na ubabe ubabe sana yaani udikteta fulani hivi au unyapara nyapara.
Ni mtazamo wangu tu.
Maendeleo hayana vyama!
We noma saana! Nimecheka kwa sautiπππ
Bashe hajasoma benjamini mkapa sec. SchollNajikumbusha tu historia ya shuleni na namna watu mnavyoweza kufanana kitabia kutokana na mazingira mliyosomea.