Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Uafrika hasa utanzania ni laana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazungumzia kuhusu ubishani wangu na wewe! Tuna uwezo tofauti wa maono na fikra.Haya sasa.
Una maana gani hapa, kwamba Uingereza wanao uwezo tofauti wa maono na kufikiri dhidi ya wahindi, au bado sijakuelewa maana yako?
Kama hivyo ndivyo unavyo dhani, hata huko huna kitu cha kutetea.
Toka mwanzo nilikueleza kwamba huelewi ninachoeleza mimi.Nazungumzia kuhusu ubishani wangu na wewe! Tuna uwezo tofauti wa maono na fikra.
Kwani tuna-consider vitu gani kui-term nchi iko juu kimaendeleo kwenye nyanja zote?! Hizo nyanja unazozijua wewe unataka kusema hapa mbele ya Umma India iko juu ya Uingereza?! 🤣🤣🤣
Kutwa hao wahindi wanakimbilia huko kutafuta maisha bora na kutimiza ndoto zao... unakuja hapa unazidi kujidhalilisha. Hebu sema tuna-consider nukta zipi kuiweka nchi kwenye kundi la mataifa yalioendelea na makubwa?!
Soma comment yangu ya mwanzo kabisa dhidi ya mada yako. Mawazo mazuri na nilisema tangu mwanzo ila sikubaliani na kauli yako ya kusema Uingereza ni nchi ndogo kuifananisha na UAE, huko UVCCM wanasajiligi mapopoma napoToka mwanzo nilikueleza kwamba huelewi ninachoeleza mimi.
haya uliyo andika hapa ni ushahidi tosha kwamba hatuzungumzii jambo moja, wewe uko kwingine kabisa, na mimi nilieleza toka mwanzo, niko kwingine kabisa.
Kwa hali hiyo, hatuwezi kuelewana.
Kwa hiyo, unaendelea kuwa na utata katika maandishi yako.
Kwa mfano" unaposema "Tuna uwezo tofauti wa 'maono na fikra'", sina hakika kama una maana ya hayo niliyoandika hapa kuhusu kujadili mambo tofauti katika mjadala huu, na kudhani kwamba ndiyo 'maono' na 'fikra' tofauti!.
Kwa vile tupo kurasa mbalimbali kabisa katika mjadala huu, sioni maana yoyote ya kuuendeleza baada ya hapa.