Waliuliwa Watanganyika, mchunguzi ni Mzanzibari Leo ameamua kubagaza damu za Watanganyika

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Ningeshangaa report iandaliwe na Mzanzibari asimlinde dada yake?

Hivi huku Tanganyika alikosa mzalendo wa kufanya uchunguzi?

Watanganyika waliohudhuria wao ni kupiga makofi pindi ripoti ya tume ikisomwa

Yaani mnasomea habari za mauaji mnapiga makofi ya Nini?

Niliwaona mabolozi wa mabeberu waki take notes, huku wakuu wa mikoa yenu wakipiga makofi

Pray for Tanganyika
 
IMG-20260423-WA0032.jpg
 
209b2fb5-dced-4762-b782-987894d00d91.jpeg
 
Back
Top Bottom