Ningeshangaa report iandaliwe na Mzanzibari asimlinde dada yake?
Hivi huku Tanganyika alikosa mzalendo wa kufanya uchunguzi?
Watanganyika waliohudhuria wao ni kupiga makofi pindi ripoti ya tume ikisomwa
Yaani mnasomea habari za mauaji mnapiga makofi ya Nini?
Niliwaona mabolozi wa mabeberu waki take notes, huku wakuu wa mikoa yenu wakipiga makofi
Pray for Tanganyika
Nasikia kwenye hiyo picha tafsiri yake inawezekana huyo mama kwakuwa hana uzoefu wa futboli anaweza kupiga ikatoka nje na ukawa mpira wa kurusha kwenda golini kwake
Hata enzi za ukoloni kuna weusi walikua wanaunga mkono ukoloni na waliuza sana habari kwa mabwana zao wa kizunguKuna watanganyika wengine mahanithi wanaunga mkono kila kitu kama wanaumwa ugonjwa wa akili
Hata enzi za ukoloni kuna weusi walikua wanaunga mkono ukoloni na waliuza sana habari kwa mabwana zao wa kizungu