Walizoea kuleta documentary za Rwanda na Congo, sasa rasmi zipo za Tanzania

Zygot

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
2,319
Reaction score
3,128
Aisee nimejikuta natokwa na machozi kuna watu ni wakatili sana cha ajabu hawana hata aibu mpaka wanachaguana wanafalilia
Umelia kutokana na hiyo movie ya BBC?!!! Labda kaangalie kwanza 'live' mauaji ya Palestine halafu uje tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…