Wallace Karia achana na Makonda anakupoteza

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Pima mafanikio yako ndani ya TFF kwa muda ambao umekaa hapo TFF. Makonda anakupotosha vitu vingi sana kwa kutaka UKUU WA KILA JAMBO. Mifano mingi ipo... hana jambo ambalo aliweza kulifanikisha yeye na likawa usipomuepuka UTAISHIA KICHAKANI NA SOKA LITATOWEKA KABISA TANZANIA.

Ushindi wa TAIFA STARS kwenda AFCON haukusababishwa na Makonda hata kidogo bali ni watu walipoungana na kuwa kitu kimoja kama taifa. Aliwatumia watu mbalimbali na wakajitoa kweli matokeo yale waliofanikisha akaanza kuwaponda mfano KONKI LIQUID.. Aliwatosa waliojitoa na kupeleka maswahiba zake IKULU na kuwaacha waliojitoa wakiiona IKULU Kupitia Azam TV haya sasa VIJANA WETU WA UNDER 17 KWAHERI tena ndani ya ARDHI YETU hii ni fedheha. Hivi tulijiandaa kwa haya matokeo, ndio maana tukajigawa vilabu nendeni kwenye michezo yenu ya ligi Kuu na watoto sijui tulimwachia nani??

Badala ya kuunganisha nguvu tukapigana kama Taifa tukaamua kujigawa.
Yanga Mtibwa Morogoro,
Coast na Simba Tanga,
Ndanda na Azam Mtwara.
Na wengine wakatawanywa hivyo hivyo. Tusimtafute mchawi tumejipiga kisu wenyewe. Kisu cha kwanza kilikuwa ni kumuondoa Kim Pousen huku tukijua kabisa tuna host haya mashindano.

Tujitathimini sisi wakubwa ndio tume waangusha Hawa vijana. Hawana majibu ya kutupa sisi ila sisi ndio tunatakiwa kuwa tathimini sahihi hawa vijana ili waweze kuendelea kuamini kuwa wao ni wapiganaji sahihi Wa Taifa hili.

Katika mfumo wa elimu tunasema "there is no poor student but there is always a poor teacher"

AFCON inaanza hata Mabango kwenye maeneo ya kuingia Nchini kama Uwanja wa Ndege Hakuna??

WALLACE KARIA UNAUA SOKA LETU
 
Sahihi kabisa, yaani hua nashangaa sana yule Rais wa TFF sijui anawaza nini
Kimsingi alipaswa kumuacha Kim ili aendeleze soka la vijana, kingine aachane na mambo ya siasa maana yatamchafua,
Wao kama shirikisho wakae chini ni wizara ya michezo warudishe umiseta, michezo ianzie ngazi ya chini, wajenge vituo vingi vya kukuza watoto,
Katika soka hakuna miujiza inahitaji kuwekeza, hata wale Uganda mechi dhidi ya taifa stars kama ingekua nao wanataka matokeo tusingeshinda,
Kuna haja ya kufanya mchakato ili tupate maendeleo ya kweli katika soka,

Watu wa TFF wamejenga mfumo ambao ni wao kwa wao tuu ndio wanastahili kuongoza lile shirikisho
 
Mpira ni taaluma na sio siasa kama anavyodhani. Haya mawili hayachangamani hata kidogo. Huwezi ingiza siasa kwenye taaluma ukafanikiwa, haiwezekani! Halafu huyu Makonda yeye alisimamia jambo gani la kwake likafanikiwa? Alianza na wauza madawa ya kulevya, sijui hata muvi iliishaje! Akaja na kusafirisha walimu wa DSM bure ndo chali kabisa, akaja na wanawake waliotelekezwa hata sidhani kama kuna ndoa aliyoirudisha tena, halafu bado unampa mpira tena. Hivi alisha wahi kucheza hata mpira wa makaratasi kweli? Ukitaka kufanikiwa tafuta rafiki aliyefanikiwa akusaidie, usitafute aliyeshindwa atakupoteza mazima.
 
Kabisa kwanza yeye ni mkuu wa mkoa tuu just like wakuu wengine wa kigoma, mwanza na kadhalika,, mbona wao hatuwaoni wakishabikia au kushiriki kama yeye.... Kwani kero za kutatua jijini dar es salaam zimeisha? au yeye ni nani ukiachilia cheo cha ukuu wa mkoa hadi akashiriki na kujipa cheo kwenye masuala ya kitaifa tena secta ambazo shirikisho lipo wazili yupo na viongozi wenye taaluma wapo.... ?
 
sasa mtu mwenyewe anaongea kama anatafuna mangararumu hana akili karia anawaacha watu wa mpira yeye anaenda kubeba mtu ambaye kila jambo anafeli halafu tunataka tushinda wanauzi sana hao watu
 
Pima mafanikio yako ndani ya TFF kwa muda ambao umekaa hapo TFF. Makonda anakupotosha vitu vingi sana kwa kutaka UKUU WA KILA JAMBO. Mifano mingi ipo... hana jambo ambalo aliweza kulifanikisha yeye na likawa usipomuepuka UTAISHIA KICHAKANI NA SOKA LITATOWEKA KABISA TANZANIA.

Ushindi wa TAIFA STARS kwenda AFCON haukusababishwa na Makonda hata kidogo bali ni watu walipoungana na kuwa kitu kimoja kama taifa. Aliwatumia watu mbalimbali na wakajitoa kweli matokeo yale waliofanikisha akaanza kuwaponda mfano KONKI LIQUID.. Aliwatosa waliojitoa na kupeleka maswahiba zake IKULU na kuwaacha waliojitoa wakiiona IKULU Kupitia Azam TV haya sasa VIJANA WETU WA UNDER 17 KWAHERI tena ndani ya ARDHI YETU hii ni fedheha. Hivi tulijiandaa kwa haya matokeo, ndio maana tukajigawa vilabu nendeni kwenye michezo yenu ya ligi Kuu na watoto sijui tulimwachia nani??

Badala ya kuunganisha nguvu tukapigana kama Taifa tukaamua kujigawa.
Yanga Mtibwa Morogoro,
Coast na Simba Tanga,
Ndanda na Azam Mtwara.
Na wengine wakatawanywa hivyo hivyo. Tusimtafute mchawi tumejipiga kisu wenyewe. Kisu cha kwanza kilikuwa ni kumuondoa Kim Pousen huku tukijua kabisa tuna host haya mashindano.

Tujitathimini sisi wakubwa ndio tume waangusha Hawa vijana. Hawana majibu ya kutupa sisi ila sisi ndio tunatakiwa kuwa tathimini sahihi hawa vijana ili waweze kuendelea kuamini kuwa wao ni wapiganaji sahihi Wa Taifa hili.

Katika mfumo wa elimu tunasema "there is no poor student but there is always a poor teacher"

AFCON inaanza hata Mabango kwenye maeneo ya kuingia Nchini kama Uwanja wa Ndege Hakuna??

WALLACE KARIA UNAUA SOKA LETU
Kwanza, Karia anajua uraia wake una utata. Bashite kwa kujua hilo, ametake advantage kujiingiza TFF apate kiki.
Karia anachojua ni kujipendekeza.
 
Katika watu wapuuzi ni huyo karia ameingiza siasa kwenye mpira tff imekuwa kama Uvccm kila SAA kupongeza juhudi tuachie mpira wetu mpira ni was FIFA
 
Wewe Bashite ni marufuku kukuona kwenye clabu yangu ya simba..usije kutuletea gundu huku pia..baki huko huko na msomali mharibu kila kitu maana hakuna namna sasa Kwan hujitathimini? Ni kitu gani ulichowahi kuanza na kukifanikisha? Hata ile kazi ndogo tu ya kumtundulisu pale dodoma ulishindwa vby jamaa adi.leo anatamba huko majuu. Na ww msomali siku zako zinahesabika hapo tff. Kazi kuongeza mihips ya tumbo kuubwaaa siasa na mpira tangu lini.
 
Kwanza, Karia anajua uraia wake una utata. Bashite kwa kujua hilo, ametake advantage kujiingiza TFF apate kiki.
Karia anachojua ni kujipendekeza.
Ni kweli mkuu mimi toka alipoingiza masuala ya Tundu Lisu niakjua ni bure kabisa na kamezwa na siasa uchwara za nchii hii,
Hata kufuzu kwetu AFCON kulikua kwa kiki za kisiasa zaidi kuliko mpira
 
Back
Top Bottom