Wallace Karia akamatwe mara moja kwa kuhujumu Mechi ya Simba na Yanga , akibanwa atawataja waliomtuma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana !

Anapaswa kufikishwa mahakamani kwa Tuhuma za Utapeli na Uhujumu uchumi , tunaamini huko mahakamani atawataja wote alioshirikiana nao kwenye hujuma hii
 
Kuna tetesi nyingi juu ya hili swala.
Ikiwa kama kweli maamuzi ya kusogeza mbele muda kabla masaa matatu mechi kuchezwa kama yalitolewa na wizara ama Rais wanaanzaje kumkamata na hao wanaomiliki jeshi la polisi waliotoa maelekezo kwa TFF?
 
Hili jambo lisipite bila wahusika kuwajibishwa.

Watu wameingia hasara sana ukipiga hesabu ni mabillion ya pesa yamepotea leo. Kuanzia kwenye vilabu, mashabiki, media, wafanyabiashara n.k.

Tumepoteza pesa nyingi sana leo kama nchi, wasipowajibisha hatutawaelewa wahusika.
 
Shida ilianzia hapo kwenye ndambi,au sio Shadeeya ?

20210509_011150.jpg
 
Kuna tetesi nyingi juu ya hili swala.
Ikiwa kama kweli maamuzi ya kusogeza mbele muda kabla masaa matatu mechi kuchezwa kama yalitolewa na wizara ama Rais wanaanzaje kumkamata na hao wanaomiliki jeshi la polisi waliotoa maelekezo kwa TFF?
Weka ushahidi hapa kuonyesha maelekezo hayo ya serikali kwa tff kuhusu kuhairisha mchezo huu. Wakati ushabiki unatufanya tunaonekana bichwa zero. No evidence no right to speak, Hadi Sasa tff wamezingua unless waweke tangible fact toka serikalini.
 
Wa kuwajibishwa ni mtopolo Bashungwa, huyu ndiye aliyesogeza muda mbele ili kuwapa kisingizio utopolo wakatae mechi.

Hii ilikuwa ni plan ya utopolo tokea mwanzo.
 
Vilabu vidai fidia nchi za wenzetu wanaojielewa hapa ndipo pakupiga pesa.Wajinga wajinga kama Tff vichwa viwasimame
 
Weka ushahidi hapa kuonyesha maelekezo hayo ya serikali kwa tff kuhusu kuhairisha mchezo huu. Wakati ushabiki unatufanya tunaonekana bichwa zero. No evidence no right to speak, Hadi Sasa tff wamezingua unless waweke tangible fact toka serikalini.
Kwahiyo unadhani TFF wameisingizia wizara tena kwenye taarifa yao rasmi?
 
Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana !

Anapaswa kufikishwa mahakamani kwa Tuhuma za Utapeli na Uhujumu uchumi , tunaamini huko mahakamani atawataja wote alioshirikiana nao kwenye hujuma hii
Hivi alikuwa na maslahi gani kwenye hili jambo?
 
Back
Top Bottom