Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hatutakuwa na Mswalie MtumeNoma sana.
Kinachoumiza ni kuihusisha Simba huku ikiwa haihusikiAisee hii mechi imenisababishia hasara kubwa, nataka kufungua kesi mahakamani.
Weka ushahidi hapa kuonyesha maelekezo hayo ya serikali kwa tff kuhusu kuhairisha mchezo huu. Wakati ushabiki unatufanya tunaonekana bichwa zero. No evidence no right to speak, Hadi Sasa tff wamezingua unless waweke tangible fact toka serikalini.Kuna tetesi nyingi juu ya hili swala.
Ikiwa kama kweli maamuzi ya kusogeza mbele muda kabla masaa matatu mechi kuchezwa kama yalitolewa na wizara ama Rais wanaanzaje kumkamata na hao wanaomiliki jeshi la polisi waliotoa maelekezo kwa TFF?
Tuanzebna KariaVilabu vidai fidia nchi za wenzetu wanaojielewa hapa ndipo pakupiga pesa.Wajinga wajinga kama Tff vichwa viwasimame
Huyu alikuwa kimbaumbau hili tumbo kapata wapi ?
Kwahiyo unadhani TFF wameisingizia wizara tena kwenye taarifa yao rasmi?Weka ushahidi hapa kuonyesha maelekezo hayo ya serikali kwa tff kuhusu kuhairisha mchezo huu. Wakati ushabiki unatufanya tunaonekana bichwa zero. No evidence no right to speak, Hadi Sasa tff wamezingua unless waweke tangible fact toka serikalini.
Inasikitisha mnoHatutakuwa na Mswalie Mtume
Hivi alikuwa na maslahi gani kwenye hili jambo?Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana !
Anapaswa kufikishwa mahakamani kwa Tuhuma za Utapeli na Uhujumu uchumi , tunaamini huko mahakamani atawataja wote alioshirikiana nao kwenye hujuma hii
Yeye ndie msimamizi wa kanuni za soka,alishindwa nini kuiambia serikali kanuni ziko vipi!alichukulia kitu rahisi tu,na Yanga wakahit back kwa kusimamia kanuni kama hao tff wanavyotumia kanuni kuwafungia viongozi waoKaria mnamuonea bure. Mbona taarifa yao ipo wazi sana kuwa ni maelekezo kutoka Serikalini?!