The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Mwaka huu michuano ya kimataifa ya vilabu mambo mbali mbali yamejitokeza.....
Nafikiri kazi ya kiongozi wa Tff ni kutetea nchi yake na kupenyeza agenda zitakazoisaidia huko kwenye shirikisho...
Nafikiri hizi agenda zifuatazo zinapaswa sasa kupiganiwa na Tff...
1. Goli la ugenini lifutwe...
2. fainali ya home na away mechi mbili ifutwe...fainali iwe mechi moja na neutral ground...
3. Waamuzi wa Tz wapewe nafasi michuano ya kimataifa...
4. Zawadi za hatua mbali mbali ziongezeke..
5.history za vilabu iandikwe vizuri kwenye website za Caf toka ilipoanzishwa...isiwe rahisi watu kuchezea history za timu mbali mbali.....
6.kuomba uenyeji wa michuano mbali mbali hata midogo midogo kama afcon under 17.....