Wallace Karia: Jwaneng galaxy FC kufanya mazoezi Avic town ni uzushi na siyo habari za ukweli Bali ni propaganda tu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
"Kunapropaganda ilikuwa inapigwa kwamba ile timu ilikuwa inafanya mazoezi Avic Town tulifuatilia sisi na wizara tukakuta ni propaganda" Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF), Wallace Karia wakati akiwaomba wadau wa soka kuwa na ushabiki wenye manufaa kwa nchi.

Credit kwa Azam sports.
 
ata mm nimemsikia leo Efm akiwa anaongelea ilo, wabongo wazushi sana lengo sijui ni nn?
We sio unaona vijana humu wanavyoandika thread kila saa kulaumu, jushambulia na kuisema vibaya Yanga. Wanajitafutia maneno na trend kwenye page zao.
 
Zile habari niliziona lakini nilizipuuza kwakuwa nilijua ilikuwa ni kazi ya wajinga wachache wa umbumbuni walishazoea kuokoteza takataka na kuzileta hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…