Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Usiwahusishe Wanasimba na ushabiki wa kijinga wa 1979Magufuli.Propaganda za WANASIMBA hizo
NGOJA WAJE UONE matusi Yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwahusishe Wanasimba na ushabiki wa kijinga wa 1979Magufuli.Propaganda za WANASIMBA hizo
NGOJA WAJE UONE matusi Yao.
Unajielewa wewe? Au mangungu bado anaendelea kufyatua mabogasHivi mbona tabia za mashabiki wa yanga wakiume na wakike unashindwa kutofautisha kabisa...inamaana mashabiki wengi wa kiume wa yanga wanaelements zabkike au?
Hivi kwani wangeweka kambi huko AVIC kuna shida gani? Hili jambo naona linakuzwa tu bila sababu. Huko AVIC hata Simba akienda na pesa zake hakuna anayemzuia wale ni wafanyabiashara tu kama wengine."Kunapropaganda ilikuwa inapigwa kwamba ile timu ilikuwa inafanya mazoezi Avic Town tulifuatilia sisi na wizara tukakuta ni propaganda" Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF), Wallace Karia wakati akiwaomba wadau wa soka kuwa na ushabiki wenye manufaa kwa nchi.
Credit kwa Azam sports.
Wewe msengelema na liuzi lako la kichoqo unajuchekesha kwa aibu!.Jwaneng walilalamika kupewa chakula chenye sumu. Yaani kumbe walikula Kigamboni halafu mpo kimya? 😁😁😁
Mbona mimi sijaanzisha uzi, au bado haujazinduka vizuri kutoka katika kuzimia? 😁😁😁Wewe msengelema na liuzi lako la kichoqo unajuchekesha kwa aibu!.
Walikua wanachunguza ubea wenu kujua ukweli ndio wakanushe au wathibitishe.Tokea lini Karia akawa msemaji?And why now?Kwanini asikanushe iliposemwa?
Kwanini angoje waondoke ndio aseme?
Kuchunguza imekuwa criminal case inachukuwa muda gani?Walikua wanachunguza ubea wenu kujua ukweli.