Wallace Karia: Jwaneng galaxy FC kufanya mazoezi Avic town ni uzushi na siyo habari za ukweli Bali ni propaganda tu

Hivi mbona tabia za mashabiki wa yanga wakiume na wakike unashindwa kutofautisha kabisa...inamaana mashabiki wengi wa kiume wa yanga wanaelements zabkike au?
Unajielewa wewe? Au mangungu bado anaendelea kufyatua mabogas
 
Kwani Leo mnamuamini karia? Kama ni kweli angekuja kusema wazi?
 
Hivi kwani wangeweka kambi huko AVIC kuna shida gani? Hili jambo naona linakuzwa tu bila sababu. Huko AVIC hata Simba akienda na pesa zake hakuna anayemzuia wale ni wafanyabiashara tu kama wengine.
 
Jwaneng walilalamika kupewa chakula chenye sumu. Yaani kumbe walikula Kigamboni halafu mpo kimya? 😁😁😁
Wewe msengelema na liuzi lako la kichoqo unajuchekesha kwa aibu!.
 
Wewe msengelema na liuzi lako la kichoqo unajuchekesha kwa aibu!.
Mbona mimi sijaanzisha uzi, au bado haujazinduka vizuri kutoka katika kuzimia? 😁😁😁
 
Upuuzi upuuzi tu,kukosa kazi kwa vijana na vipage vyao uchwara hawana contents wanaanzisha mambo yasiyo na kichwa wala miguu
 
Tokea lini Karia akawa msemaji?And why now?Kwanini asikanushe iliposemwa?
Kwanini angoje waondoke ndio aseme?
 
Tokea lini Karia akawa msemaji?And why now?Kwanini asikanushe iliposemwa?
Kwanini angoje waondoke ndio aseme?
Walikua wanachunguza ubea wenu kujua ukweli ndio wakanushe au wathibitishe.
 
Walikua wanachunguza ubea wenu kujua ukweli.
Kuchunguza imekuwa criminal case inachukuwa muda gani?
Aache petty propoganda.Huwa wapenzi wanasema mengi huwa anakanusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…