Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazikulengwa sehemu ambayo ingemletea madhara kwa haraka,mfano moyo au kichwa.Nikweli lakin risasi 36 mtu akatoka hai!!!
Hapo Ndio muujiza ulipo, kuwa kwa nini risasi zote 36 hazikuweza kulenga eneo hilo.Hazikulengwa sehemu ambayo ingemletea madhara kwa haraka,mfano moyo au kichwa.
Bomba Mvua
Hahaha Yemen niliwaona wanacheza mpira wakiwa handas na kikoi juuMirungi na Mpira wapi na Wapi?!
Huyo ni fala. Hivi kutetea haki ni haramu nchi hii ??!!.Karia unapotea
kila mwenye mamlaka kaambiwa amshugulikie , usishangae kusikia hata wakuu wa shuleMbona list ya wanaojikomba ndio inazidi kuongezeka kwa hiyo ,wote hao watapewa vyeo mbona vitaisha si wataanza kulogana
alisukumizwa tuu.kama mzee baba alisema alikua anajaribu kubip tu kwenye urais kasimu kakagomea kulekule🙄🙄
Kwani siyo Msomali, kumuita mtu Mmakonde au Mnyamwezi au Msambaa au Mpare ni kumbagua? Hapo inaongelewa origin au ethnicity, Karia ni Msomali na atabaki kuwa Msomali(ethnic Somali) mpaka kufa kwake. Unaweza kubadili dini au nationality lakini hauwezi kubadili origin, kabila au ethnicity.Kwanini umembagua kwa kumuita Msomali
Kalikoroga... Na mamlaka za kuchukua hatua ziko kimya tuli kabisaNi kauli ya Rais wa TFF Leo Arusha akitoa hotobu mbele ya mkutano mkuu,kauli yake nadhani anamlenga Michael R wambura kwamba ni mkorofi analengo la kuharibu mpira.
Nimeshangaa kwann kamuhusisha mh Tundulisu? Mkutano wake naamini unawanachana wa itikadi tofauti ,naamini amewakera wale wa chadema.
Kwa tafsiri yangu Wallace karia amemkosea sana Mh tundu lisu..maana yake Mh lisu ni mkorofi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini hazikulengwa na dhamiri ilikuwa ni kumuua ?! Ndiyo miujiza yenyewe [emoji23][emoji1787]Hazikulengwa sehemu ambayo ingemletea madhara kwa haraka,mfano moyo au kichwa.
Bomba Mvua