Wallace Karia ndio Rais wa TFF mwenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania

Na kusema terms zinabadilika kutokana a muda na sio hoja ni big NO, ndo maaa kuna taasisi kadri muda unavyozidi kwenda zinazid kuporomoka, km ingekuwa muda ndo unaleta positive changes na sio hoja na strategies basi taasisi zingezid kuwa bora kwa kadri muda unavyosonga.
 
Mafanikio yapi wakati wanaingia mikataba na kampuni kudhamini ligi na hawasemi bingwa anapata nini. Hii ligi yetu tumshukuru Azam media and Bakhressa hao ndio wameleta mapinduzi makubwa ya huu Mpira. Huyo Karia na bodi ya ligi wamebakia kula hela tu na hakuna ubunifu wowote.
 
Hao wawekezaji uliowataja wamekuja kuweka pesa zao kwasababu ya sera nzuri zenye tija zilizopo TFF, wangeona kuna ubabaishaji au hakuna uhakika wa kupata faida wasingewekeza. Hawajawekeza km wahisani bali wafanya biashara, na wameona sera na mazingira vinasupport wao kupata faida. Nani anavisimamia hivyo vitu km sio Karia
 
Wamewekeza sababu ya airtime ya Azam, kama hao TFF wako siriasi wameshindwa kupata mdhamini mzuri wa ligi, wanatafuta wadhamini kama wachawi.
 
Karia Hawezi Kuwa Rais Aliyefanikiwa Kwasababu ameingia Madarakani wakati mambo yakiwa yamebadirika. Ni kama uzaliwe kwenye Familia yenye pese halafu useme tayari una mafanikio
 
Karia Hawezi Kuwa Rais Aliyefanikiwa Kwasababu ameingia Madarakani wakati mambo yakiwa yamebadirika. Ni kama uzaliwe kwenye Familia yenye pese halafu useme tayari una mafanikio
Wapo waliozaliwa kweny familia yenye pesa walipoachiwa wao wakashindwq kuziendeleza wakawa maskin wa kutupwa. So hata kuendeleza pesa ulizozikuta bado sio rahis mkuu.. unahitaji kupongezwa
 
Wamewekeza sababu ya airtime ya Azam, kama hao TFF wako siriasi wameshindwa kupata mdhamini mzuri wa ligi, wanatafuta wadhamini kama wachawi.
Hata hao Azam unadhan uongoz wa TFF chin ya Karia usingekuwa na sera nzuri na uthubutu wangewekeza kweny mpira wa Bongo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…