Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 511
- 848
- Thread starter
- #41
Na kusema terms zinabadilika kutokana a muda na sio hoja ni big NO, ndo maaa kuna taasisi kadri muda unavyozidi kwenda zinazid kuporomoka, km ingekuwa muda ndo unaleta positive changes na sio hoja na strategies basi taasisi zingezid kuwa bora kwa kadri muda unavyosonga.Terms zinabadilika kutokana na muda, so sio hoja yenye mashiko. Ndio maana kuna kitu kinaitwa Time Value for money. Si umeona ukarabati wa uwanja wa Taifa ni bil 30 wakati ujenzi wake wakati huo ulikuwa bil 60?
Tunachozungumzia hapa ni mafanikio yaliyoleta changes za mpira wetu. Katika hilo Tenga amemuacha mbali KARIA, ni sawa na kumlinganisha Magufuli na Mkapa. Mkapa hakuweza kujenga barabara kila mkoa ila kwa wakati wake ndio alitengeneza mifumo madhubuti na kuwa turning point ya TZ kuwa nchi inayotazamika.
Hata Uingereza pamoja na Maendeleo ila historia yao inaonesha kuwa Agrarian na Industrial revolutions era ndio zama bora kwao katika maendeleo ya nchi yao.
So kwenye Mpira, turning point yetu ni Tenga, enzi zake ligi kuu ilipata kuoneshwa na GTV ambaye alikuwa mshindani wa SUPER SPORTS, Enzi za Tenga, Ligi ilikuwa inachezeshwa angalau kwa ufanisi licha ya kutorushwa game zote.
Uwazi katika Taasisi ulianza kuonekana kipindi cha Tenga, na hata mashindano mengi ya CECAFA yalifanyika TZ kipindi cha TENGA.
Karia amekuta tayari Soka letu liko kwenye Ramani yeye ameingia 2017, ni juzi tu hapo, tayari timu kama Yanga ilishaingia Group stage ya Shirikisho nk ameikuta Taifa Stars tayari ina watu wa maana kuweza kupambana na kufuzu AFCON nk.
Amekuta Karume imefanyiwa maboresho nk.
Kama hujui mpira au una mahaba au ni kampeni meneja wake, mwambie muda ukiisha aondoke ofisini haraka sana. Hakuna ambacho amefanya kwa ufanisi zaidi ya kuwafungia watu.