Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Amekwenda kuitangazia Afrika na Nje ya Afrika kuwa Tanzania kuna tabia ya timu kupokea wageni.
Amefanya vizuri kwa kiwango chake cha akili.
Kutojua kusema neno sahihi ukiwa mahali sahihi ni kilema.
 
Meko alianzaga hivi hivi, kiongozi yoyote anahitaji hekima sana ya kutambua mipaka ya Kila jambo otherwise atajikuta anageuka mtawala. Nikimwangalia KARIA kwa jicho la mbali anakopeleka soka ni kubaya sana- anatengeneza bad precedents, based on my personal assessments Hana hekima ya kiongozi, hajui mipaka Wala maadili yake ya kazi, na anachukulia vitu too personal which is very bad.
Ni aina ya mtu ambaye amekuwa anaingiza siasa kwenye michezo na kutaka watu wafanye based na anachokiamini yeye licha ya kwamba ni kinyume Cha Sheria na maadili. Mfano kuingiza mambo ya kumponda Lissu na CDM kwenye soka ambayo ni kinyume na maadili kabisa.
Eleza kwa mifano mintalafu hayo mambo unayosema ni personal, hizo bad precedents na mipaka gani ambayo amekiuka.

Hata hivyo, ukitupatia JD yake pia itatusaidia kutambua anapwaya kiasi gani kiasi kwamba hatufai.

Ukieleza kwa ujumla binafsi sikuelewi. Ila ukijenga hoja zako kwa mifano; utaeleweka zaidi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".

"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331
Amepata wapi mamlaka ya kupangia watu maisha huyu kibwengo!
 
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".

"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331
Hivi kuna timu imewahi kufanya ujinga kama huo?Lazima watakuwa Azam au Namungo.Si bure.Inasikitisha sana.
 
Utopolo wameguswa kwenye gololi wanarukaruka kama maharage yanavyoiva.
 
Atoke akiri hadharani ili hata anapoboronga ijulikane anaongozwa na mapenzi.
Hakuna kiongozi wa mpira asiyefuatilia mpira na ukishafuatilia mpira, automatically utakuwa ni shabiki wa team fulani.
 
Atoke akiri hadharani ili hata anapoboronga ijulikane anaongozwa na mapenzi.
Mbna Malinzi aliweka wazi, kuwa yeye ni shabiki wa Yanga na alisema wakati wake Yanga itachukua ubingwa sana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom