Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Amepata wapi mamlaka ya kupangia watu maisha huyu kibwengo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anakutesaaa kwa kweli. Poleeeeeeh

Maskiniiii weee,
 
Huyu jamaa hayuko sawa kisaikolojia! Maana unaweza kuhisi ana matatizo ya akili.

Inashangaza eti ndiyo rais wa TFF!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo ashakuwa sasa, vipi una lipi la kufanyaaa??? Na atakutesaaa sanaa, na badoooooooooh.

Karia niumizieeee huyu mtu, weraaaaaaaah.
 
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".

"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331
Wajingajinga FC lazima watabisha hapa
 
Back
Top Bottom