cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anakutesaaa kwa kweli. PoleeeeeehAmepata wapi mamlaka ya kupangia watu maisha huyu kibwengo!
Maskiniiii weee,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anakutesaaa kwa kweli. PoleeeeeehAmepata wapi mamlaka ya kupangia watu maisha huyu kibwengo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo ashakuwa sasa, vipi una lipi la kufanyaaa??? Na atakutesaaa sanaa, na badoooooooooh.Huyu jamaa hayuko sawa kisaikolojia! Maana unaweza kuhisi ana matatizo ya akili.
Inashangaza eti ndiyo rais wa TFF!
Wajingajinga FC lazima watabisha hapa"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF".
"Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe wanakuwa serious kwenye mashindano hayo, lakini pia ni vizuri zile tabia za kupokea wageni zife". Rais wa TFF Wallace Karia.View attachment 2320331