Wallace Karia: Ni vizuri zile tabia za kupokea wageni(michezo ya Kimataifa) zife

Amekwenda kuitangazia Afrika na Nje ya Afrika kuwa Tanzania kuna tabia ya timu kupokea wageni.
Amefanya vizuri kwa kiwango chake cha akili.
Kutojua kusema neno sahihi ukiwa mahali sahihi ni kilema.
 
Eleza kwa mifano mintalafu hayo mambo unayosema ni personal, hizo bad precedents na mipaka gani ambayo amekiuka.

Hata hivyo, ukitupatia JD yake pia itatusaidia kutambua anapwaya kiasi gani kiasi kwamba hatufai.

Ukieleza kwa ujumla binafsi sikuelewi. Ila ukijenga hoja zako kwa mifano; utaeleweka zaidi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Amepata wapi mamlaka ya kupangia watu maisha huyu kibwengo!
 
Hivi kuna timu imewahi kufanya ujinga kama huo?Lazima watakuwa Azam au Namungo.Si bure.Inasikitisha sana.
 
Mkuu acheni tabia za kijinga. Weka Utopolo pembemi, Tumia akili yako mwenyewe utakubaliana na Karia. Nasubiri majibu baada ya kutumia zako
Hivi bado wanatetea upumbavu?Kweli hawajaongezeka.Bado walewale wawili tu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utopolo wameguswa kwenye gololi wanarukaruka kama maharage yanavyoiva.
 
Atoke akiri hadharani ili hata anapoboronga ijulikane anaongozwa na mapenzi.
Hakuna kiongozi wa mpira asiyefuatilia mpira na ukishafuatilia mpira, automatically utakuwa ni shabiki wa team fulani.
 
Atoke akiri hadharani ili hata anapoboronga ijulikane anaongozwa na mapenzi.
Mbna Malinzi aliweka wazi, kuwa yeye ni shabiki wa Yanga na alisema wakati wake Yanga itachukua ubingwa sana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…