Wallace Karia: Wachezaji watakaosafiri nje hawataruhusiwa kurudi

.. Nataman wanaemuita first angesoma hapa,jamuhuri ipo kizan ye yupo bize na opposition.
 
SIMBA NI TIMU YA KARIA,HAWEZI KUBALI HAO WACHEZAJI WASICHEZE TENA MSIMU HUU,ATAKUWA TAYARI KUMEZA MATAPISHI YAKE. YAANI KAWAANDALIA UBINGWA TOKA LIGI INAANZA HALAFU AJE AHARIBU MWISHONI? HAWEZI KUBALI KUHARIBU LEGACY YAKE HAPO SIMBANI!
 
Mbona unamgeuka Rais wako? Huyu si ndiye amewaandalia kikombe msimu huu? Muwe na shukurani basi
 
Utopolo kuifunga simba ni kama wameona mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaona raha sanaaaa!! Tena raha kuu Nne.
1. Yanga kuifunga Simba
2. Goli la ushindi lilifungwa na Bernard Morrison
3. Mechi ya kwanza tulifanya come back ya kiume ndani ya Dk. 3 tukawagonga bao 2 ndipo ngoma ikalala, hadi Rais Wa CAF akasema next time nitahitaji kishuhudia hii derby
4. Tumewafunga mbele ya Rais Wa nchi yetu, Rais Wa CAF na Rais wenu Wallace Karia
 
Huyu jamaa sijui alipataje urais hapo tiefuefu.
 
Jamii ya kitanzania ina tatizo kubwa la uongozi katika ngazi na sekta mbalimbali. Inasikitisha sana watu wajanja wajanja ndio tumewatanguliza mbele halafu tunategemea ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…