Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
kaumbukaNilishasema huyu mtu hana tofauti na malinzi, Rais alikuwa Sir leodiger Tenga tu hawa wengine wamekuja kuzoa utajiri tu
Kumbe alimfungia wambura ili azitafune bila keleleView attachment 964862
kaumbuka
Gazeti la umbeya na majungu la musiba.
labda nao wachaguaji hawajuiHivi walikuaje wanachugua huyu mtu asiye na chembe ya kuujua mpira
labda nao wachaguaji hawajui
Mpira unaongozwa na mtu ambaye hajui hata kupiga Danadana
Musiba apeleka msiba TFF.
Huyu karia ni fisadi la kutisha
Sijui hata alipata vipi hiyo nafasi.
Bora Ally Mayay.Wapiga kura hawa wa kibongo ukiwapa bahasha ya laki laki ushamaliza kazi
Bora Ally Mayay.
Upuuzi mtupu, wapiga debe nyie mnajitekenya na kucheka wenyewe. Unadhani kupiga soga na kuongoza ni sawa?Ally mayai smart hata yule bwana shafii dauda wakikaa pale soka litapiga hatua
Gazeti hili sitakuja kuliamini labda waandike taarifa za kifo cha MUSIBA