Wallace Kariaa wa Tff atafuna mamilon ya pesa

Wallace Kariaa wa Tff atafuna mamilon ya pesa

Tuangalie content kabla ya kuangalia gazeti gani

Hii habari inaukweli mkubwa kwasababu kuna miamala imetembea ya kutisha
Hupaswi kumuamini muongo hata kama anasema ukweli " hilo gazeti linaweza kukuponza ukaonekna kituko mbele za watu
 
Vijana wana nafasi ya kuongoza TFF..kama Kenya raisi wa soka lao Nick Mwendwa very young..napenda anavyowasalimia wachezaji kwa kibega very friendly..ndio maana Kenya wamequalify AFCON baada ya miaka mingi...Mayai na Shaffi wana uwezo wa kubadirisha soka letu wako very passionate na Mpira..hivi mtu makini unawezaje kuchukua kocha kama Amunike kwa CV gani ..kucheza Barcelona mechi sita??tushukuru Mungu mwaka huu hatujapangiwa The Giants..
 
Hizo ni mbinu za Wambura kuwachafua waliopo TFF ili arudi ofisini kuja kuhomola kwa kumtumia mamluki MUSIBA na kijarida chake!!! Hawa wote Wambura na Musiba ni majasusi!!!
 
Una chuki binafsi,umehakikishaje katafuta hiyo hela wakati hata hujasoma content ndani ya gazeti.

Uyanga umekujaa tu,shaffi dauda hafai hata kuwa mjumbe
Ally mayai smart hata yule bwana shafii dauda wakikaa pale soka litapiga hatua
 
Kweli kabisa mkuu karia karidhika kula mshahara tu
Vijana km kina ally au shafii wanaonekana kabisa wana vision na mpira na wana kiu ya mafanikio sio hawa wapigaji waliojazana karume

Back
Top Bottom