Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Labda ukagombee kwenu BurundiNitagombea 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ukagombee kwenu BurundiNitagombea 2020
Labda ukagombee kwenu Burundi
We account yako inasoma digt ngapi?
Kwangu Pongwe ... Karibu nikupe uwanja ujenge
Sina utajiri wa mali lakini sina rohombaya na jicho la husda kama wewe
Sihitaji kupewa Kiwanja na mchawi mimi
Sasa mi na wewe nani aitwa maskini
Una wivu sana wewe na nafasi ya karia sijui kakugongea mkeo.watu wengine sijui mkojeUchawi unalipa kwa maskini pori kama wewe
Una wivu sana wewe na nafasi ya karia sijui kakugongea mkeo.watu wengine sijui mkoje
Hupaswi kumuamini muongo hata kama anasema ukweli " hilo gazeti linaweza kukuponza ukaonekna kituko mbele za watuTuangalie content kabla ya kuangalia gazeti gani
Hii habari inaukweli mkubwa kwasababu kuna miamala imetembea ya kutisha
Ally mayai smart hata yule bwana shafii dauda wakikaa pale soka litapiga hatua
Vijana wana nafasi ya kuongoza TFF..kama Kenya raisi wa soka lao Nick Mwendwa very young..napenda anavyowasalimia wachezaji kwa kibega very friendly..ndio maana Kenya wamequalify AFCON baada ya miaka mingi...Mayai na Shaffi wana uwezo wa kubadirisha soka letu wako very passionate na Mpira..hivi mtu makini unawezaje kuchukua kocha kama Amunike kwa CV gani ..kucheza Barcelona mechi sita??tushukuru Mungu mwaka huu hatujapangiwa The Giants..
Karia ni mumeo?