Wallace Kariaa wa Tff atafuna mamilon ya pesa

Nilishasema huyu mtu hana tofauti na malinzi, Rais alikuwa Sir leodiger Tenga tu hawa wengine wamekuja kuzoa utajiri tu

Kumbe alimfungia wambura ili azitafune bila keleleView attachment 964862
naunga dots....mmiliki wa hiki kijalida na aliyewahi kuwa mmoja ya viongozi wa tff anayepigania kurejeshwa katika nafasi yake ndg boniface wambura, wote ni watu wa kanda ya ziwa na bila shaka wote ni watu wa mkoa mmoja.

kuna namna hapa.
 
Hilo gazeti limenifanya niwe na akiba ya maneno nisije shadadia mambo bila kijua ukweli.
 
Tuangalie content kabla ya kuangalia gazeti gani

Hii habari inaukweli mkubwa kwasababu kuna miamala imetembea ya kutisha
Huna fact umeleta majungu tu nahisi umebaniwa huko ofisini kuiba sasa mmekuja kuchafua watu hapa
 
Acha kuleta personal attacks hapa wewe.msomali ndo nini? Mbona wewe muhutu unakoment hapa JF ?
Toa hoja karia is a failier and corrupt.ligi haina mdhamini bado anakwapua mamilion pesa
Kwanza inakuwaje wachague msomali kuws kiongozi wa tff? Mbona wazalendo wenye uwezo wapo?
 
Acha kuhisi we msomali hapo utatoka utuachia wazalendo Tanzania ina makabila 120 na nyie bado hatujawaingiza
Huna fact umeleta majungu tu nahisi umebaniwa huko ofisini kuiba sasa mmekuja kuchafua watu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…