Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tatizo chanzo cha Taarifa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona wametolea ufafanuzi hili swalaView attachment 964993
Inachukua ngumu sana chochote kinachoandikwa na musiba..na nikiona u asupport basi nakuchukulia ni wale ambao wanaendeshwa kwa kulifurahisha tumbo..hamembona wametolea ufafanuzi hili swalaView attachment 964993
2017 nani alikuwa rais wa wa tff?
Press realize ndio itarudisha hayo mamilioni?
Tatizo chanzo cha Taarifa .
Kama kaandika Musiba, basi hiyo sio habari tena.
Ni majungu hayo
Imekiri niniTff imekiri
naunga dots....mmiliki wa hiki kijalida na aliyewahi kuwa mmoja ya viongozi wa tff anayepigania kurejeshwa katika nafasi yake ndg boniface wambura, wote ni watu wa kanda ya ziwa na bila shaka wote ni watu wa mkoa mmoja.Nilishasema huyu mtu hana tofauti na malinzi, Rais alikuwa Sir leodiger Tenga tu hawa wengine wamekuja kuzoa utajiri tu
Kumbe alimfungia wambura ili azitafune bila keleleView attachment 964862
Karia ndiye aliyekiri ?Tff imekiri
Karia ndiye aliyekiri ?
Imekiri nini
naogopa kuitwa mjinga kwa kumuamini mpuuzi Musiba , nitafanya uchunguzi huruSoma press released ya tff kwa kina utaelewa kuna kitu
Ungegombea wewe basi kama unaona yeye hakufaa.Hivi walikuaje wanachugua huyu mtu asiye na chembe ya kuujua mpira
Huna fact umeleta majungu tu nahisi umebaniwa huko ofisini kuiba sasa mmekuja kuchafua watu hapaTuangalie content kabla ya kuangalia gazeti gani
Hii habari inaukweli mkubwa kwasababu kuna miamala imetembea ya kutisha
Toa hoja karia is a failier and corrupt.ligi haina mdhamini bado anakwapua mamilion pesa
Kwanza inakuwaje wachague msomali kuws kiongozi wa tff? Mbona wazalendo wenye uwezo wapo?
Huna fact umeleta majungu tu nahisi umebaniwa huko ofisini kuiba sasa mmekuja kuchafua watu hapa
Kwahii roho yako utakufa masikini mkuu badilika.Acha kuhisi we msomali hapo utatoka utuachia wazalendo Tanzania ina makabila 120 na nyie bado hatujawaingiza
Ungegombea wewe basi kama unaona yeye hakufaa.
Kwahii roho yako utakufa masikini mkuu badilika.